Posted On: August 1st 2026, 04:05 am
Wana simba nina wapa tahadhari mapema sana. Kuna mchanga unao hama upo Ngorongoro.
Tusiusogele tutakuja kujikuta tupomefika "Machame au Rombo". Tuwe na tahadhari wana simba na wanyama pori.
#simbanguvumoja #michezo #comedy #burudani Load More