Wana simba nina wapa tahadhari mapema sana. Kuna mchanga unao hama upo Ngorongoro.
Tusiusogele tutakuja kujikuta tupomefika "Machame au Rombo". Tuwe na tahadhari wana simba na wanyama pori.
#simbanguvumoja #michezo #comedy #burudani
FOLLOW TOGOLAY24 TELEVISION 📰 Habari • ⚽ Michezo • 📚 Makala 🌍 Taarifa Sahihi na Zenye Uhakika, Kila Siku. 📩 Kwa Matangazo na Ushirikiano, Wasiliana na Ofisi Yetu.
@comfort_group_limited ni kampuni inayojishughulisha na huduma za Clearing and Forwarding, Import & Export, Sea Freight & Air Freight, usafirishaji wa Containers na Magari pamoja na huduma za Car Insurance.
Tunahakikisha mizigo yako inafika salama, kwa haraka na kwa gharama nafuu.
Wasiliana nasi leo tukusaidie kurahisisha usafirishaji na bima ya gari lako.
👉 Wasiliana nasi leo:
📞 Simu: +255 715 555 825
📧 Barua pepe:
[email protected]
[email protected]
-------------------------
Comfort Group Limited
"Haraka & Salama."
Comfort Group Limited – Tunabeba mizigo yako kwa uhakika na uaminifu.
Mshambuliaji wa kimataifa wa Namibia, Peter Shalulile anaendelea kuonesha ubora wake kwenye Ligi Kuu ya NBC akiifungia Young Africans bao lake la pili kwenye michezo mitatu aliyocheza hadi sasa.
Nyota huyo aliyetamba na Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini anazidi kuonesha kwanini Yanga walimtambulisha kwa mbwembwe kubwa kutokana na kile anachokionesha ndani ya muda mfupi aliokuwa na miamba hiyo ya Kariakoo.
Wekundu wa Msimbazi Simba, hapa wakiingia katika Uwanja wa Uhuru au Shamba la Bibi kunogesha Tamasha lao la Simba Day.
#Michezo
#SimbaDay
#KigamboniYetu
#Tanzania
#SAT MediaUpdates
Ben Whittaker👑🥊 ni mmoja wa nyota wanaochipukia na kuvutia zaidi katika mchezo wa ngumi nchini Uingereza. Akiwa amezaliwa mwaka 1997 katika eneo la West Midlands, alijulikana zaidi duniani baada ya kushinda medali ya fedha katika Michezo ya Olimpiki ya Tokyo 2020. Mtindo wake wa kipekee wa kupigana, wepesi wa miguu, na haiba yake ya kujiamini humfanya atofautiane na wapiganaji wengine. Baada ya kuanza taaluma ya ngumi za kulipwa, Whittaker alijipatia umaarufu mkubwa miongoni mwa mashabiki kutokana na miondoko yake ya kuvutia, tabia ya kuonyesha mbwembwe ulingoni, na uwezo mkubwa wa kupiga ngumi nzito. Mashabiki wengi humlinganisha na magwiji wa mchezo huo kwa sababu anachanganya burudani na mbinu za hali ya juu. Lengo la Ben Whittaker ni kuwa bingwa wa dunia, na kutokana na kasi, kipaji, na haiba yake, wengi wanaamini atafika kileleni mwa ulimwengu wa ngumi. #ngumi #bondia #mma #mpiganajiwamma #benwhittaker
MICHEZO: [ This page doesn’t support any kind of violence and I mean it since I followed up the community guideline. ]
🔴 Usisahau kutu-follow kwenye ukurasa wetu wa Instagram kwa taarifa mbalimbali muda wowote
Follow: 👇👇👇
@damediatz
Moja ya matukio ya kipekee katika historia ya soka la Olimpiki lilitokea wakati wa mchezo kati ya Tunisia na Serbia na Montenegro kwenye Michezo ya Olimpiki ya Athens 2004.
Dakika za mwisho za mchezo huo zilishuhudia penati ya Tunisia ikirudiwa mara sita kutokana na waamuzi kubaini wachezaji wa pande zote waliingia ndani ya eneo la hatari kabla mpira haujapigwa
Mshambuliaji anaekipiga Dollars FC kunako ligi kuu Marekani Bernard Kamungo aliwahi kuitwa kuitumikia Tanzania, lakini changamoto za kisheria na taratibu za nyaraka zilimzuia kutimiza ndoto yake ya kuichezea Taifa Stars.
Safari hii mambo yamekaa sawa. Kamungo amejumuishwa kwenye kikosi cha Taifa Stars kinachojiandaa kwa michezo ya kufuzu AFCON 2027 dhidi ya Guinea-Bissau (nyumbani) na Madagascar (ugenini).
Ni mchezaji ambaye kwa muda mrefu mashabiki walitamani kumuona akiwa amevalia jezi ya Taifa na kuonyesha uwezo wake uwanjani.
#69mediatz #69sportstz
Golikipa wa klabu ya Jamus SC, Goodwill Yugusuk, amejumuishwa rasmi kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya vijana ya Sudan Kusini chini ya umri wa miaka 23 (U23) Instagram.Yugusuk mwenye umri wa miaka 22, amekuwa akionyesha kiwango bora sana cha soka na ameshafanikiwa kuziwasilisha timu za taifa za nchi yake katika ngazi mbalimbali ikiwemo U20, U23 na hata timu ya wakubwa ya Sudan Kusini.Mchezaji huyo anatarajiwa kutimiza umri wa miaka 23 mwezi Januari mwakani. Tunaendelea kumtakia kila la heri katika majukumu yake mapya ya kuitumikia timu ya taifa!#skywoodupdates #michezo #soka #southsudanesebeauty🇸🇸🇸🇸😍😍🙌 #under23
Kwa miaka mingi, Lionel Messi amekuwa akisimamiwa kwa umakini kuelekea mechi zenye uzito mkubwa. Mara kadhaa kabla ya fainali na michezo muhimu akiwa Barcelona, Paris Saint-Germain na Argentina benchi la ufundi limekuwa likipunguza mzigo wake wa mazoezi ili kuhifadhi nguvu zake na kuhakikisha anafika siku ya mchezo akiwa katika hali bora ya kimwili na kiakili kwa lengo la kuwezesha kupata matokeo.
Hali hiyo imeonekana tena kuelekea nusu fainali dhidi ya England, ambapo Messi ameonekana akitulia kwa sehemu ya mazoezi. Kwa mchezaji mwenye uzoefu mkubwa hatua kama hii mara nyingi huonekana kama sehemu ya usimamizi wa mwili na maandalizi ya mwisho badala ya kuwa ishara ya tatizo kama wengi wanavyodhani.
Wapo mashabiki na wapenzi wengi wa soka huamini kuwa mapumziko yake kabla ya mechi kubwa huwa ni sehemu ya mkakati wa kumuweka tayari kuleta tofauti pale timu inapokuwa inataka matokeo ya ushindi.
Je, mapumziko haya yatamuwezesha Messi kuiongoza Argentina kutinga fainali?
✍| @tei_titho
Mashabiki wa Simba SC wameanza kumtania mshambuliaji Ibrahim Doumbia kama "Victor Osimhen wa Simba" kutokana na mtindo wake wa kucheza, first touch, steeze na hata muonekano wake.
Follow Joseph Jeyson kwa habari za uhakika, usajili, uchambuzi na updates zote za michezo.
#SimbaSC
#LibasseGueye
#TransferNews
#TanzaniaFootball
#Josephjeysonmedia
#MICHEZO Kitaifa, Dar es laam mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania bara kati ya wenyeji Yanga SC dhidi ya TP lindanda Pamba jiji FC umemaliza kwa wenyeji Yanga kushinda bao 2-0.
Mchezo huo umepigwa August 28,2026 kwenye dimba la KMC Complex uliopo mwenge jijini Dar es laam, ambapo mabao ya Yanga SC yamefungwa na Max Nzengeli na Sheikh Toure.
Kufuatia ushindi huo Yanga SC imerejea kileleni mwa msimamo baada ya kukusanya alama 12 kwenye michezo 4, huku Pamba jiji FC ikiwa nafasi ya 15 na alama 1 pekee.
Miongoni mwa matukio yaliyovuta hisia za mashabiki wa Yanga SC katika mchezo huo ni kuonekana kwa nyota wao mpya uwanja kwa mara ya kwanza Seleman Mwalimu Gomez tangu asajiliwe kutoka Wydad.
#chivihimediaupdates