Posted On: August 8th 2026, 06:40 am
Chifu Habari!
Kumbe soya inaweza kubadilishwa na kuwa bidhaa inayofanana na nyama! 😳🌱🥩 Leo Nane Nane nimejifunza kitu kipya kabisa.
Usipite tu kwenye maonesho haya—ingia mabandani, jifunze na ujionee teknolojia za kilimo kwa macho yako! 🚀🌾
#NaneNane2026 #COPRA #Kilimo #Soya #Ubunifu