💧🌱 MIFUMO YA UNYWESHELEAJI KWA GHARAMA NAFUU 🌱💧
Kilimo cha kisasa hakihitaji gharama kubwa — kinahitaji mfumo sahihi.
✅ 1️⃣ Drip Irrigation (Matone)
• Hutoa maji kidogo kidogo moja kwa moja kwenye mizizi
• Huokoa maji sana
• Inafaa mboga, matunda & bustani
• Gharama ndogo kuanzia shamba dogo
✅ 2️⃣ Sprinkler System
• Maji yananyunyizwa kama mvua
• Inafaa mashamba ya kati
• Rahisi kufunga na kuhamisha
✅ 3️⃣ Pump + Hose System
• Pump ya maji + mabomba
• Inavuta maji kisima, bwawa au mto
• Mfumo rahisi na wa bei nafuu kuanza
💰 Kwa nini ni muhimu?
• Huongeza mavuno
• Hulima mwaka mzima
• Huokoa muda & nguvu
• Inaweza kuwa pia biashara ya kufunga mifumo kwa wakulima wengine
👉 Kilimo bila maji ni kubahatisha.
👉 Mfumo wa umwagiliaji = uhakika wa mavuno.
📍 Vifaa vya mifumo ya umwagiliaji vinapatikana MAWO BUY – Mwananyamala Ujiji
📞 0750401818 / 0757471618
#Unywesheleaji #KilimoChaKisasa #DripIrrigation #MAWOBUY #AjiraKilimo PigaPesa
Kilimo mseto ni mbinu ya kilimo ambapo mkulima hupanda mazao mawili au zaidi katika shamba moja kwa wakati mmoja kwa mpangilio maalum, ili kuongeza matumizi bora ya rasilimali kama ardhi, maji, mwanga wa jua na virutubisho.
⸻
🌱 Aina za kilimo mseto
* Mchanganyiko bila mpangilio maalum: Mazao hupandwa pamoja bila kufuata mistari (mfano mahindi + maharage).
* Kwa mistari (row intercropping): Kila zao hupandwa katika mistari tofauti.
* Kwa vipande (strip intercropping): Mazao hupandwa kwa vipande vikubwa vinavyotenganishwa.
* Kupandikiza kwa awamu (relay intercropping): Zao la pili hupandwa kabla la kwanza halijavunwa.
⸻
🌾 Mifano ya mazao
* Mahindi + maharage
* Mpunga + kunde
* Mtama + choroko
⸻
✅ Faida
* Huongeza mavuno kwa kutumia vizuri rasilimali
* Hupunguza wadudu na magonjwa
* Huboresha udongo (hasa mazao ya mikunde huongeza nitrojeni)
* Hupunguza hatari ya hasara iwapo zao moja litaharibika
Mashamba Yaliyopimwa Kijiji cha GWATA KIBAHA VIJIJINI
Ekari Moja ni 2,000,000/=
Muda wa malipo ni miezi 20 Anza. Na 100,000/=
Siku ya kutembelea Mashamba ni Jumamosi
Nauli ni 10,000/=
👉🏼Mashamba yanafaa kwa ufugaji wa kuku mbuzi kondoo ng’ombe nguruwe
👉🏼kwa kilimo unaweza kulima mahindi ufuta alizeti mihogo
👉🏼 Pia unaweza kupanda miti ya Matunda Kama maembe mapera machungwa migomba minazi
👉🏼Unaweza kujenga na kukaaa Kama makazi pia.
Mawasiliano:+255683273159
Tunapatikana Mbezi kwa Msuguri
Ujanja ni kumiliki ardhi
HAPA NDIPO TUNAHIFADHI MPUNGA!
WAFANYA BIASHARA WA MCHELE NA WAKULIPA NTAWAPELEKA HAPA ILI UJUE NAMNA YA KUPATA MPUNGA AU KUHIFADHI MPUNGA UTAKAO LIMA AU UTAKAO NUNUA!
NASEMAJE!!
ZIMEBAKI SIKU 4
TUELEKEE KWENYE SHAMBA TOUR SEASON 10
NAFASI ZIMEBAKI CHACHE, MZAZI UNAYETAMANI MWANAO AJIFUNZE KUHUSU KILIMO AU BIASHARA YA NAFAKA BASI NIPE NIENDE NAYE SHAMBANI KWA SIKU 3 UTANISHUKURU!!
GHARAMA YA SH LAKI 3
ITA COVER NAULI YA KWENDA NA KURUDI, CHAKULA KWA SIKU ZOTE NA MALAZI KWA SIKU ZOTE .
Unataka Mungu akupe nn tena?
UNAYETAKA KUSHIRIKI ANDIKA NENO “Shamba Tour KISHA TUMA KUJA 0756 444 000
NAMI NITAKUPA MAELEKEZO!
SAFARI NI TAREHE 5/3/2026
NAKUSUBIRI INBOX🙏🏿
LEO TUNAANZA DARASA LA HOHO🫑
Darasa kwa wakulima na wadau wote wa kilimo cha Pilipili hoho 🫑
Join nasi Kwenye WhatsApp group letu la wakulima tujifunze pamoja.
Ili kujisajili Tuma neno MAFUNZO kupitia WhatsApp number 0767337029
#tukafosichaka
TUNAUZA MASHINE YA KUCHIMBIA MASHIMO | POST HOLE DIGGER | MASHINE ZA UJENZI NA KILIMO EARTH AUGER | EARH DIGGER
📞 +255 658 375 861
📲 @mkulimasolution @mkulima_solution
🕖 Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)
📍 Tegeta Wazo Hill – Dar es Salaam
—
MASHINE YA KUCHIMBIA MASHIMO ni mashine maalumu kwa ajili ya kuchimba mashimo kwa haraka na kwa ufanisi kwenye shughuli za kilimo, ujenzi, uzio, upandaji miti na bustani.
🔹 Inakuja na majembe yafuatayo:
• Size 30cm
• Size 20cm
• Size 10cm
• Urefu wa kufikia: Meter 1
—
🔹 Inafaa kwa:
Wakulima wanaopanda miti
Kazi za kufunga uzio
Mashamba na bustani
Wataalamu wa ujenzi
Vikundi vya wakulima
—
✅ Faida za kutumia Mashine ya Kuchimbia Mashimo:
Huchimba mashimo kwa haraka sana
Huongeza ufanisi na kupunguza gharama za vibarua
Hutoa mashimo yenye kina na ukubwa sahihi
Inaokoa muda na nguvu kazi
Inafaa kwa shughuli nyingi tofauti
—
MKULIMA SOLUTION tunauza mashine za ukubwa tofauti – ndogo, za kati, na kubwa – kulingana na mahitaji yako.
—
📍 Tembelea ofisi zetu au wasiliana nasi kwa:
Call / WhatsApp: +255 658 375 861
—
#postholedigger #mashinezakilimo #mashinezakuchimbamashimo #ujenzi #miti kilimotz kilimobiashara mkulimasolution mkulima_solution DarEsSalaam Tanzania🇹🇿 Bagamoyo shamba vifaavyaujenzitz
MKULIMA SOLUTION | DAR ES SALAAM
Bado unasema Kilimo cha Mjini ni gharama???
Kuna mbinu nyingi za kulima mboga kwenye eneo dogo kwa gharama nafuu.
Familia kurasa zetu kujifunza mengi
#farmtoserve #agricultureismyculture
VITUNGUU FARM!
YAAN VILE MH WAZIRI WA KILIMO NA KATIBU MKUU WA KILIMO WALIVYOTUKABIDHI ZILE HEKA 500 ZITAJUTAAAAAAAAAAA!!
HAPA TUNATAKA KUNYUKA KITUNGUU KAMA KAMA HEKA 10 KAMA TRIAL!
THEN MPUNGA KAMA HELA 50 AS TRIAL
UFUTA
DENGU
MENGINE SISEMI
ASANTENI SANA
@wizara_ya_kilimo
@tumeyaumwagiliaji
#DODOMA NA KILIMO NI 🔥
➡️Borehole drilling (UCHIMBAJI KISIMA)
Tunakuhakikishia kuwa unapata maji bora na salama kwa matumizi mbalimbali katika maisha ya kila siku iwe kilimo, ufugaji, nyumbani, mahotelini, viwandani nk
➡️Hydrogeological survey(Utafiti wa maji ardhini)
Tunahakikisha upatikanaji wa eneo zuri kwa ajili ya kisima chako ndani ya eneo lako kwa gharama nafuu sana na kwakutumia mitambo bora na yakisasa
➡️Pump installation (ufungaji pampu)
Baada ya kukuchimbia pia tunakuakikishia kukufungia pampu bora kwa aina ya matumizi ya eneo husika kwa kiwango bora na pekee.
➡️Pump testing (upimaji wa uzalishaji maji kisimani)
Ikiwa ulichimba kisima na unahitaji kuhakiki uzalishaji maji ndani ya
kisima chako basi wasiliana nasi na tutakutatulia changamoto zako .
➡️Maintenance(Matengenezo ya kisima )
Tunatoa huduma ya Matengenezo yote ya visima na changamoto zake hivyo tupo hapa sisi kama SULLU MZARA WATER SOLUTION 💦
Tunakuakikishia kutatua changamoto zote kama vile kufunga pampu mpya (kutoa ya zamani), kutoa pampu zilizonasa kisimani, kufufua visima vilivyojifukia au kuweka bomba full kwa
vile visima vya opening hall.
Zingatia: ukichimba nasi kisima chako kitakuwa chini ya uangalizi wetu kwa muda wa miezi sita kwa chochote basi Tunahakikisha tunazitatua kwa gharama zetu
NB:USHAURI TUNATOA BURE KABISA
WASILIANA NASI
☎️0749072121
HAYAWI HAYAWI…
HATIMAYE MPUNGA UMEOTA DODOMA!!
MWEZI WA TATU 2026
WIZARA YA KILIMO WALITUKABIDHI HEKA 500 MKOANI DODOMA.
ENEO HILI HALIJAWAHI LIMWA MPUNGA TANGU KUZALIWA ETI TANGU KUZALIWA TANGU KUUMBWA!
LAKINI SISI TULIPOIONA FURSA AMBAYO SERIKALI YETU IMEWEKEZA KUPITIA TUME YA UMWAGILIAJI
TUKASEMA WACHA TUJILIPUE
AND NOW KITU NA BOXXXXXX😉
ASANTE SANA MH RAIS @samia_suluhu_hassan KWA KUTENGA MAENEO HAYA NA KURUHUSU VIJANA TUJIAJIRI!
ASANTE SANA MH WAZIRI WA KILIMO @daniel_godfrey_chongolo
KWA KUTUAMINI JAPO NI VIJANA WA MJINI😁
ASANTE SANA MH KATIBU MKUU WA WIZARA YA KILIMO @gerrygeofrey
KWA KUTUKABIDHI ENEO KWA NIABA YA MH WAZIRI!!
AHADI YETU NI KWAMBA
HATUTA WAANGUSHAA KWANZA HATA TUKIWAANGUSHA HAMUANGUKI😁
BAADA YA WIKI MBILI
TUNAANZA KUPANDA MPUNGA HUU!
VIJANA KARIBUNI KWENYE FAMILIA YA SHAMBA TOUR
(SISI HATA KAMA HUNA HAMU YA KULIMA UTALIMA TUUUU!!
EK = Elimu ya Kujitegemea
Hii ni somo au kipindi kinachowafundisha wanafunzi:
Stadi za maisha (life skills)
Kazi za mikono (ufundi rahisi, kilimo, usafi)
Nidhamu na uwajibikaji
Kujifunza kufanya kazi kwa vitendo.
Kutana na kijana Innocent Mabilika mwenye umri wa miaka 26 ambaye ana kipaji kikubwa cha kutengeneza mashine za kilimo.
Anazitengeneza kwa bei nafuu huku akiwa na ndoto ya kuwa mzalishaji mkubwa wa zana za kilimo ili kuwasaidia wakulima kuondokana na matumizi ya zana duni.
Huyu ni Mabilika, kijana mwenye kipaji kikubwa cha kutengeneza mashine za kilimo kwa Bei Nafuu.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi