Posted On: September 4th 2026, 01:23 pm
TUNACHOAMINI
Katika Tanzania Pathways Foundation, tunaamini kuwa kila kijana anastahili zaidi ya kupata elimu.
🎓 Elimu ni mwanzo, lakini mwongozo, ushauri, malezi, ujuzi na fursa ndiyo humsaidia kijana kuelewa yeye ni nani, kugundua uwezo wake na kuutumia kujenga maisha yenye mwelekeo.
✨ Tunaamini kila kijana ana kipawa, uwezo na nafasi ya kufanya jambo lenye maana katika jamii.
Ndiyo maana tupo kuwawezesha vijana kugundua uwezo wao, kufanya maamuzi sahihi na kujenga njia kuelekea maisha yenye matumaini na mafanikio.
Tunaamini vijana wakipewa mwongozo sahihi, wanaweza kubadilisha maisha yao na jamii inayowazunguka. 💙
#TanzaniaPathwaysFoundation
#YouthEmpowerment #Mentorship #CareerGuidance #YouthDevelopment UnlockYourPotential