Instagram story viewer> @jsitanzania> Post
3 months ago
Co Creator: kisurapepea bfatanzania ovahtanzania
Kwa siku 10 zijazo, Jamii Salama Initiative tutazungumza kuhusu ridhaa, mipaka, mahusiano salama, unyanyasaji wa kijinsia na namna ya kupata msaada. Karibu kushiriki kipindi hiki Ili kujifunza kwa pamoja; kuchangia mada, kuuliza maswali, kuvunja dhana potofu na kuwa vinara wa kuwaelimisha wengine.

 Fuatilia kampeni, mshirikishe na mwenzio🔥

#jsitanzania #jamiisalama #unyanyasajisiompango #Ridhaahalisi #vunjaukimya
4
Posted On: August 18th 2026, 10:54 am

Comments (4)
bintimwemsi 3 months ago

bintimwemsi

👏👏👏👏👏

estaseraphy 3 months ago

estaseraphy

Inafanyikia wapiii

More posts

back to up