Instagram story viewer> @bintimwemsi> Posts
1.7K
followers
1496
following
Explore Larosa Co.Ltd
Branch manager @explorelarosa
Dodoma-Branch
📍Capital City Mall, Off.No_40
POSTS STORIES REELS TAGGED
Leo, tunapomkumbuka Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, tunayaishi maono yake kwa vitendo! 🙌🏾🇹🇿

​Mwalimu aliamini katika maendeleo yanayomgusa kila mwananchi, na leo teknolojia inatuwezesha kufanya hivyo kwa urahisi zaidi. Programu yetu ya Explore Larosa imetengenezwa kurahisisha maisha yako—kuanzia manunuzi, burudani, safari, hadi kupata huduma mbalimbali, zote zikiwa kiganjani mwako ili kuleta maendeleo endelevu na kuwezesha jamii yetu. 📲✨

​“Teknolojia inakuwa na maana pale inapowawezesha watu, inapoimarisha jamii na kuleta suluhu za maendeleo endelevu.”

​Endeleza urithi huu kwa kurahisisha maisha yako ya kila siku leo!

​Pakua (Download) Explore Larosa App sasa hivi kwenye App Store au Google Play, au tembelea www.explorelarosa.com kujua zaidi.

​#NyerereDay #MwalimuNyerere #KumbukiziYaNyerere #ExploreLarosa #Tanzania taken in Tanzania, Africa by @bintimwemsi
0
6 days ago
Download
Unatafuta hotel au sehemu nzuri ya kukaa?

Explore Larosa inakupa nafasi ya kutafuta, kuchagua na kupanga sehemu yako ya kukaa kwa urahisi, huku ukiendelea kupata maeneo mbalimbali, huduma, shopping, burudani na mengi zaidi — yote ndani ya app moja.

Usitafute kila kitu sehemu tofauti.
Explore Larosa inakuweka karibu na kila unachohitaji. 💙

📲 Pakua Explore Larosa leo.
Your World, All in One Place.

#ExploreLarosa #YourWorldAllInOnePlace #HotelsTanzania #TravelTanzania #ExploreTanzania taken in Dar es Salaam, Tanzania by @bintimwemsi
5
12 days ago
Download
Mtindo mpya wa maisha unaanza na uamuzi mmoja: Kurahisisha mambo yako! 

Kwa nini upoteze muda ukihangaika kutafuta huduma wakati unaweza kufanya kila kitu sehemu moja? Explore La Rosa App inakuletea uhakika wa safari, huduma za kimaisha na maeneo mazuri ya kijanja popote ulipo.

Usisubiri kusimuliwa.
📲 Bonyeza kiungo kilichopo kwenye bio yetu, pakua app sasa na anza kufurahia ulimwengu wa La Rosa.

Tag rafiki yako anayependa vitu vizuri na maisha rahisi! 👇

#ExploreLaRosa #MaishaYaKisasa #SmartLifestyle #AppStore #GooglePlay TanzaniaLifestyle taken in Dar es Salaam, Tanzania by @bintimwemsi
7
15 days ago
Download
Kwanini uhangaike na app kumi wakati unaweza kupata kila kitu sehemu moja? 📱🔥

​Tiketi za usafiri, chakula, shopping, movies na mengine mengi yapo tayari kwa ajili yako ndani ya Explore Larosa.

​Explore More, Live Better. Pakua app leo!

​🔗 Link kwenye bio / www.explorelarosa.com

​#ExploreLarosa #SmartLifestyle #AllInOneApp #TanzaniaTech taken in Dar es Salaam, Tanzania by @bintimwemsi
16
16 days ago
Download
Something exciting is on the way… 👀✨
The wait is almost over. Get ready for something special! 🔥

COMING SOON.
Stay tuned. You won’t want to miss this. 🚀

#ComingSoon #Inakuja #StayTuned #usikose taken in Africa by @bintimwemsi
6
17 days ago
Download
Kuna njia mbili tu za kuishi mjini:

​Kuhangaika juani na stress ❌

​Kutumia Explore Larosa kumaliza michongo yako yote kiganjani ✅

​Chagua moja! Wewe upo upande gani? Tuambie hapo chini kwenye comment 👇🔥

​📲 Download app yetu sasa, link ipo kwenye bio!

​#ExploreLarosa #missgrandinternational #MaishaRahisi #MjiniMipango #BongoTrending taken in Dar es Salaam, Tanzania by @bintimwemsi
1
17 days ago
Download
TUMEZINDUA. SASA NI WAKATI WA KU-EXPLORE. 🌍

Kila safari huanza na hatua moja.
Kila wazo kubwa huanza na ujasiri wa kulifanya kuwa halisi.

Na siku hii, tulifungua ukurasa mpya. 💙

Explore Larosa imezaliwa kwa lengo la kukusogeza karibu na ulimwengu unaokuzunguka — kutoka maeneo ya kuvutia, safari na hoteli, shopping, chakula, burudani, biashara, hadi watu na mambo yanayokupa sababu ya ku-explore zaidi.

Tulikutana.
Tuka-share maono.
Tukaamini kwenye wazo.
Na hatimaye tukasema:

IT’S TIME TO EXPLORE LAROSA. 🚀

Haya siyo tu picha za uzinduzi.
Hizi ni kumbukumbu za mwanzo wa safari mpya.

📍 Dar es Salaam, Tanzania
💙 Explore Larosa — Your World, All in One Place.

Safari imeanza. Wewe umeanza ku-explore? 👀🌍

#ExploreLarosa #YourWorldAllInOnePlace #Tanzania #ExploreTanzania #DarEsSalaam

ONE LAUNCH. ONE VISION. A WHOLE WORLD TO EXPLORE. 🌍💙

Tulianza kama wazo.
Leo, tumeanza safari.

Kutoka shopping hadi safari, hoteli hadi maeneo ya kuvutia, burudani hadi biashara — Explore Larosa inaleta ulimwengu wako karibu zaidi, sehemu moja.

Hii siyo mwisho wa safari.
Huu ndiyo mwanzo.

Welcome to Explore Larosa. 💙

YOUR WORLD, ALL IN ONE PLACE.

📍 Dar es Salaam, Tanzania

#ExploreLarosa #YourWorldAllInOnePlace #ExploreMore #Tanzania #DarEsSalaam taken in Dar es Salaam, Tanzania by @bintimwemsi
8
19 days ago
Download
Mkurugenzi Dwight John Danda na timu nzima ya Explore Larosa wanahakikisha teknolojia inakufikia kirahisi zaidi. Pakua app yetu leo uone utofauti! 🔥

Tayari umeshaipakua Explore Larosa kwenye simu yako? Dondosha comment yako hapa chini! 👇
 
​#photooftheday #ExploreLarosa #AppYaKijanja #TanzaniaTech #DownloadNow taken in Dar es Salaam, Tanzania by @bintimwemsi
9
20 days ago
Download
More than a launch, it’s the beginning of something extraordinary. 🤗🤗🤗🌟

#ExploreLarosa #NewJourney #LaunchDay by @bintimwemsi
16
24 days ago
Download
Kazi yetu ni kuhakikisha wewe unawahi na kufika unakokwenda kwa amani ya moyo.
Explore Larosa inakuletea suluhisho la kisasa la booking na safari kiganjani mwako.
Tuambie, safari yako ijayo inaelekea wapi? 
​#ExploreLarosa #SafariMpya #MwanzaDar #TanzaniaYetu #SafiriNasi

Safari zote nzuri huanza na mpango sahihi pamoja na timu makini.
Kupitia Explore Larosa, tunafanya huduma za usafiri na booking kuwa rahisi na za uhakika zaidi kwako.
Jiunge nasi leo ufurahie urahisi wa kusafiri bila usumbufu. 
​#ExploreLarosa #UsafiriSalama #BookingMtandaoni #SafariTanzania #HudumaBora taken in Dar es Salaam, Tanzania by @bintimwemsi
3
24 days ago
Download
Tukiwa tunaendelea kuleta mageuzi na huduma bora, jana ilikuwa fursa nzuri ya kusherehekea hatua nyingine muhimu tukiwa timu moja. Shukrani za dhati kwa kila aliyekuwa sehemu ya usiku huu wa kipekee. Explore Larosa tuko tayari kukuhudumia! 💼🚀

​#ExploreLarosa #Milestone #TeamWork #LaunchVibes #Innovation

Tukiwa tunaendelea kuleta mageuzi na huduma bora, jana ilikuwa fursa nzuri ya kusherehekea hatua nyingine muhimu tukiwa timu moja. Shukrani za dhati kwa kila aliyekuwa sehemu ya usiku huu wa kipekee. Explore Larosa tuko tayari kukuhudumia! 💼🚀

​#ExploreLarosa #Milestone #TeamWork #LaunchVibes #Innovation

Jana ilikuwa zaidi ya safari, ilikuwa vibe kamili! 🚐✨ Tabasamu na safari isiyosahaulika tukiwa na familia ya Explore Larosa. Ni mwanzo tu wa mambo makubwa zaidi! 🥂🔥
​#ExploreLarosa #GoodVibes #NightOut #SafariYenyeMvuto #TeamEnergy taken in Dar es Salaam, Tanzania by @bintimwemsi
4
25 days ago
Download
A New Digital Chapter Begins with Explore Larosa ✨

Jana, pale Johari Rotana Dar es Salaam, tulishuhudia hatua kubwa ya kimapinduzi kwenye ulimwengu wa kidijitali wakati wa uzinduzi rasmi wa Explore Larosa.

 Tukio hili lilileta pamoja wadau mbalimbali wa teknolojia, biashara, sanaa, pamoja na vijana wenye maono chanya ya maendeleo.

Akiongoza uzinduzi huo, Managing Director wetu, Mr. Dwight Danda, alieleza dira kuu ya jukwaa hili katika kutumia technology na innovation kufungua fursa mpya kwa vijana, kukuza jamii, na kuunganisha watu na huduma bora za kila siku kupitia mfumo rahisi na wa kisasa.

Hii si tu uzinduzi wa app, bali ni daraja linalokuunganisha na kila unachohitaji:
🛍️ Smart Shopping 
& Local Businesses
✈️ Travel, 
Accommodation & Bookings
🍔 Food Ordering, 
Events & Lifestyle Experiences
The future is here, and it is built for you.

📲 Pakua Explore Larosa sasa kupitia App Store au Google Play !  Explore More. Live More...

#ExploreLarosa #OfficialLaunch #TechInnovation #DarEsSalaam #JohariRotana taken in Dar es Salaam, Tanzania by @bintimwemsi
7
25 days ago
Download

Download All

Save the photos and videos currently loaded on this page.

0Photos
0Videos
Ready to download 0 / 0

Keep this tab open until your download is ready.

back to up