Instagram story viewer> @explorelarosa> Posts
872
followers
52
following
​Your All-in-One Lifestyle App 🌐
​💬 Connect & chat with friends
🍕 Order food & book rides/trips
⛽ Powered by @larosafuel
​👇 Pakua app sasa 👇:
POSTS STORIES REELS TAGGED
Kila kitu unachohitaji sasa kiko kiganjani mwako!✅️🩵

 Kuanzia usafiri, burudani, huduma za jamii hadi mawasiliano salama yaliyolindwa kwa end-to-end encryption, Explore La Rosa imerahisisha kila hatua.

 Pata uzoefu wa kisasa na wa kipekee ndani ya application moja—ipakue sasa kupitia App Store au Google Play!  #ExploreLaRosa

 #YourWorldAllInOnePlace #TanzaniaTech #MobileApp #InnovationTanzania taken in Dar es Salaam, Tanzania by @explorelarosa
35
23 days ago
Download
Hustle na lifestyle yako yote, sasa ipo simplified! 😎 Ukiwa na ExploreLarosa, huna haja ya kuhangaika—trends, shopping, na maeneo mapya vyote viko kiganjani mwako.

​Unasubiri nini? Let’s explore and live more! 🚀

Get the app now on Google Play & App Store! taken in Dar es Salaam, Tanzania by @explorelarosa
0
2 days ago
Download
Leo, tunapomkumbuka Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, tunayaishi maono yake kwa vitendo! 🙌🏾🇹🇿

​Mwalimu aliamini katika maendeleo yanayomgusa kila mwananchi, na leo teknolojia inatuwezesha kufanya hivyo kwa urahisi zaidi. Programu yetu ya Explore Larosa imetengenezwa kurahisisha maisha yako—kuanzia manunuzi, burudani, safari, hadi kupata huduma mbalimbali, zote zikiwa kiganjani mwako ili kuleta maendeleo endelevu na kuwezesha jamii yetu. 📲✨

​“Teknolojia inakuwa na maana pale inapowawezesha watu, inapoimarisha jamii na kuleta suluhu za maendeleo endelevu.”

​Endeleza urithi huu kwa kurahisisha maisha yako ya kila siku leo!

​Pakua (Download) Explore Larosa App sasa hivi kwenye App Store au Google Play, au tembelea www.explorelarosa.com kujua zaidi.

​#NyerereDay #MwalimuNyerere #KumbukiziYaNyerere #ExploreLarosa #Tanzania taken in Tanzania, Africa by @explorelarosa
0
6 days ago
Download
🇹🇿🔥 WAKATI WA TANZANIA KUUNGANIKA NA DUNIA NI SASA!

Miss Grand, matukio yanayotikisa mitandao, habari zinazozungumziwa kila kona, lifestyle, burudani na mambo yanayo-trend — dunia ya leo inabadilika kila sekunde! 🌍📲

Na wewe, hutakiwi kubaki nyuma. 👀

EXPLORE LAROSA inakuweka karibu na kinachoendelea, inakupa nafasi ya kufuatilia mambo yanayokuvutia na kukuunganisha na ulimwengu wa kidijitali kwa namna mpya. 💙✨

Kuanzia kinachovuma kwenye social media hadi matukio yanayozungumziwa Tanzania na duniani kote ,kaa karibu na kinachoendelea.

🌍 EXPLORE LAROSA — YOUR WORLD, ALL IN ONE PLACE.

🔥 Tanzania, ni kitu gani kinatrend ambacho kila mtu anakizungumzia leo? Tuambie kwenye comments! 👇🇹🇿

#ExploreLarosa #MissGrandTanzania #MissGrandInternational #MGI2026 #Tanzania taken in Dar es Salaam, Tanzania by @explorelarosa
3
10 days ago
Download
Unatafuta hotel au sehemu nzuri ya kukaa?

Explore Larosa inakupa nafasi ya kutafuta, kuchagua na kupanga sehemu yako ya kukaa kwa urahisi, huku ukiendelea kupata maeneo mbalimbali, huduma, shopping, burudani na mengi zaidi — yote ndani ya app moja.

Usitafute kila kitu sehemu tofauti.
Explore Larosa inakuweka karibu na kila unachohitaji. 💙

📲 Pakua Explore Larosa leo.
Your World, All in One Place.

#ExploreLarosa #YourWorldAllInOnePlace #HotelsTanzania #TravelTanzania #ExploreTanzania taken in Dar es Salaam, Tanzania by @explorelarosa
5
12 days ago
Download
Mvua inanyesha, lakini mipango yako haitakiwi kusimama. 

Hali ya hewa ikikubana kuingia kitaa,
 Explore La Rosa inakuletea kila kitu hapo hapo ulipo. Ingia kwenye app yetu uendelee ku-explore bila kulowa hata tone. 

☔ Inapatikana Android na iOS.

#Tanzania #Bongo #DarEsSalaam #Mwanza #Arusha Swahili TanzaniaUnforgettable BongoFlava taken in Dar es Salaam, Tanzania by @explorelarosa
8
14 days ago
Download
Mtindo mpya wa maisha unaanza na uamuzi mmoja: Kurahisisha mambo yako! 

Kwa nini upoteze muda ukihangaika kutafuta huduma wakati unaweza kufanya kila kitu sehemu moja? Explore La Rosa App inakuletea uhakika wa safari, huduma za kimaisha na maeneo mazuri ya kijanja popote ulipo.

Usisubiri kusimuliwa.
📲 Bonyeza kiungo kilichopo kwenye bio yetu, pakua app sasa na anza kufurahia ulimwengu wa La Rosa.

Tag rafiki yako anayependa vitu vizuri na maisha rahisi! 👇

#ExploreLaRosa #MaishaYaKisasa #SmartLifestyle #AppStore #GooglePlay TanzaniaLifestyle taken in Dar es Salaam, Tanzania by @explorelarosa
7
15 days ago
Download
Kwanini uhangaike na app kumi wakati unaweza kupata kila kitu sehemu moja? 📱🔥

​Tiketi za usafiri, chakula, shopping, movies na mengine mengi yapo tayari kwa ajili yako ndani ya Explore Larosa.

​Explore More, Live Better. Pakua app leo!

​🔗 Link kwenye bio / www.explorelarosa.com

​#ExploreLarosa #SmartLifestyle #AllInOneApp #TanzaniaTech taken in Dar es Salaam, Tanzania by @explorelarosa
16
16 days ago
Download
Kuna njia mbili tu za kuishi mjini:

​Kuhangaika juani na stress ❌

​Kutumia Explore Larosa kumaliza michongo yako yote kiganjani ✅

​Chagua moja! Wewe upo upande gani? Tuambie hapo chini kwenye comment 👇🔥

​📲 Download app yetu sasa, link ipo kwenye bio!

​#ExploreLarosa #missgrandinternational #MaishaRahisi #MjiniMipango #BongoTrending taken in Dar es Salaam, Tanzania by @explorelarosa
1
17 days ago
Download
TUMEZINDUA. SASA NI WAKATI WA KU-EXPLORE. 🌍

Kila safari huanza na hatua moja.
Kila wazo kubwa huanza na ujasiri wa kulifanya kuwa halisi.

Na siku hii, tulifungua ukurasa mpya. 💙

Explore Larosa imezaliwa kwa lengo la kukusogeza karibu na ulimwengu unaokuzunguka — kutoka maeneo ya kuvutia, safari na hoteli, shopping, chakula, burudani, biashara, hadi watu na mambo yanayokupa sababu ya ku-explore zaidi.

Tulikutana.
Tuka-share maono.
Tukaamini kwenye wazo.
Na hatimaye tukasema:

IT’S TIME TO EXPLORE LAROSA. 🚀

Haya siyo tu picha za uzinduzi.
Hizi ni kumbukumbu za mwanzo wa safari mpya.

📍 Dar es Salaam, Tanzania
💙 Explore Larosa — Your World, All in One Place.

Safari imeanza. Wewe umeanza ku-explore? 👀🌍

#ExploreLarosa #YourWorldAllInOnePlace #Tanzania #ExploreTanzania #DarEsSalaam

ONE LAUNCH. ONE VISION. A WHOLE WORLD TO EXPLORE. 🌍💙

Tulianza kama wazo.
Leo, tumeanza safari.

Kutoka shopping hadi safari, hoteli hadi maeneo ya kuvutia, burudani hadi biashara — Explore Larosa inaleta ulimwengu wako karibu zaidi, sehemu moja.

Hii siyo mwisho wa safari.
Huu ndiyo mwanzo.

Welcome to Explore Larosa. 💙

YOUR WORLD, ALL IN ONE PLACE.

📍 Dar es Salaam, Tanzania

#ExploreLarosa #YourWorldAllInOnePlace #ExploreMore #Tanzania #DarEsSalaam taken in Dar es Salaam, Tanzania by @explorelarosa
8
19 days ago
Download
🎥🔥 PSJ STUDY TOUR CONTENTS ZIPO EXPLORE LAROSA!

Ukitaka kuona video, moments na experience kuelekea PSJ Study Tour—zote zipo ndani ya Explore Larosa App. 📲✨

Download Explore Larosa, experience PSJ differently! 🚀

Cc
@dwightdanda 
@psj_tanzania by @explorelarosa
14
19 days ago
Download
Hongera Sana Kijana mwenzetu kwa ubunifu huu wa kuja na hii App ya @explorelarosa Hakika nilichojifunza kupitia hii App ni kuwa utakuwa sio mtandao tu wa kuagiza Bidhaa pekee Bali unaweza kukurahisishia kupunguza hasira wakati umeagiza bidhaa online kupitia hii App yani wakati unasubiria maybe chakula mda ule ambao sehemu nyengine ukiagiza unatulia tu hii App inakurahisishia wakati upo online kwenye App unasikiliza Mziki taratibu au unacheza game pia itaenda kututengeneza connection na watu tofauti tofauti 

Karibuni sana kwenye hii App kwenye hii familia ya @explorelarosa 🙏🤝🤝 sauti ikapotea hapo hapo 🤣🤣 by @explorelarosa
47
20 days ago
Download

Download All

Save the photos and videos currently loaded on this page.

0Photos
0Videos
Ready to download 0 / 0

Keep this tab open until your download is ready.

back to up