Instagram story viewer> @explorelarosa> Tagged
POSTS STORIES REELS TAGGED
Hongera Sana Kijana mwenzetu kwa ubunifu huu wa kuja na hii App ya @explorelarosa Hakika nilichojifunza kupitia hii App ni kuwa utakuwa sio mtandao tu wa kuagiza Bidhaa pekee Bali unaweza kukurahisishia kupunguza hasira wakati umeagiza bidhaa online kupitia hii App yani wakati unasubiria maybe chakula mda ule ambao sehemu nyengine ukiagiza unatulia tu hii App inakurahisishia wakati upo online kwenye App unasikiliza Mziki taratibu au unacheza game pia itaenda kututengeneza connection na watu tofauti tofauti 

Karibuni sana kwenye hii App kwenye hii familia ya @explorelarosa 🙏🤝🤝 sauti ikapotea hapo hapo 🤣🤣
47
“Built by struggle. Guided by discipline. Driven by purpose. Leading with grace.” 🖤👑
48
Hakuna swali nililokuwa nalikimbia kama nikiambiwa Tafuta thamani ya x Lakini apa na Ndugu yangu @francis_luhanya Alikuwa ananionyesha @explorelarosa kiboko ya maswali Yote Aiseee hii App Hakikisha unakuwa nayo kwenye Simu utakuja kunishukuru 🤝🤝🤝 

Atakae otea ndugu yangu @francis_luhanya apa Alikuwa ananiambia Juu ya Nchi ya Rwanda 🇷🇼 Aliyotoka ivi Karibuni Luhanya Anatoa Zawadi 🤣

MAMBA24 HAIKWEPEKI LINDA MGONGO WAKO HALI NI MBAYAAAAAAAA U BELA WATCH UR BACK 👊
16
CCTV camera 🎥 za @shummy_taste @shummy_cake zimewanasa vijana hawa wakati Tumetoka kwenye Uzinduzi wa @explorelarosa Tukaenda kupata dinner Mimi naendelea na maombi wao wanashambulia msosi vibaya sana uzuri apa @shummy_taste Wapo vizuri cctv camera zikawanasa Embu watag awa vijana kama Mnawaju 😢😢😢😢siku nyengine siwaambii Tena fumbeni macho Tusali Imani yenu itawaponya aiseee 🤣🤣🤣🤣🤣🤣😢😢😢
64
Wakati,Muda na Mungu 

Hongereni sana @explorelarosa Hakika Hii ni Kubwa sana Binafsi yangu Nimejifunza kitu kikubwa sana kupitia hii App Yajayo ni Neema Tu
11
back to up