Posted On: August 25th 2026, 08:46 am
Wanaume wengi hawavai vizuri si kwa sababu hawapendi fashion,
Bali maisha yamewavalisha majukumu hadi wamesahau hata kujinunulia shati jipya.
Huyu mwanaume unayemuita 'mbwa' ndiye anayesambaza chakula kwa familia nzima.
Anakopa, anajinyima, anakataliwa, lakini bado anaendelea kupambana kimya kimya.
Asubuhi kabla ya jua kuchomoza, ameondoka. Usiku akiwa amechoka, anarudi.
Hajui kulalamika, hajui kuomba huruma, lakini moyo wake umebeba dunia nzima.
Wanawake, si kila kimya ni uzembe...
Wengine kimya chao kimejengwa na uchungu wa kupuuziwa na mliotakiwa kuwa mabega yao.
Waheshimu wanaume wa kweli wanaotunza hata kwa maumivu.
Wanapopotea kidogo, siyo kwa mapenzi ni kwa shinikizo la maisha
WhatsApp 0677405188
Instagram Codeclassicstore 🔥