a month agoKanatia huruma Mungu amlinde yaani nimehisi kale ka kwangu kanaondoka . uwiiiii 😍
a month agoOf course very true, alituumba kwa mfano wake na akakaa ndani yetu,sisi niyeye nayeye nisisi👏😍
a month agoJamanii hongera sana @daynanyange Dah Umeweza sana 👏👏👏 Sema we ni kichwa sana Me nakukubali sana Dada
