4 days agoNilichonacho ni miaka tu na driving licence iliyo expire na sijui nita renew lini na watoto๐๐๐
6 days agoNamshukuru Mungu Kwa kunisaidia Kufika miaka 30, Hivyo vingine nitavipata Taratibu
7 days agoHuyu jamaa kuna kipindi alikuwa anamshibokea mond kinoma nikamu unfollow najiuliza huyu @mfalmewax vipi ,,,,mbona huyaishi maisha ya kifalme ww๐ฅ
