Instagram story viewer> @sophiamfaume> Post
a month ago
Mheshimiwa Rais @samia_suluhu_hassan

Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunipa tena kibali kupitia kwako cha kuwatumikia wananchi. Natoa SHUKRANI zangu za DHATI na za kina kwako kwa imani uliyoendelea kunipa ya kuniteua tena kuendelea kulitumikia taifa kwa nafasi ya Mkuu wa Wilaya.

Ninapokea imani hii kwa Unyenyekevu mkubwa, Shukrani na hisia ya kina ya uwajibikaji. Ninafahamu kwamba nafasi hii sio cheo tu, bali ni wito wa kuitumikia Serikali na Wananchi wa Tanzania kwa uadilifu, kujituma, nidhamu na kujitolea.

Nakuhakikishia Mheshimiwa Rais kwamba nitaendelea kutekeleza majukumu yangu kwa bidii na kwa uzalendo, huku nikishirikiana kwa ukaribu na wadau wote katika kuendeleza maendeleo ya kijamii na kiuchumi katika wilaya ya Mpwapwa uliyoniamini kuiongoza.

Nakushukuru tena kwa imani uliyonayo kwangu. Namuomba Mwenyezi Mungu aendelee kukujaalia afya njema unapoendelea kuliongoza taifa letu.

Kwa HESHIMA na SHUKRANI ZA DHATI,
Dkt. Sophia Mfaume Kizigo,
Mkuu wa wilaya ya Mpwapwa.
115
Posted On: September 30th 2026, 07:55 am

Comments (115)
schiwamba 20 days ago

schiwamba

Congrat's Hon. Dr. Sophia.

doriswignus a month ago

doriswignus

Hongera sanaa Mkuu wetu wa Wilaya๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘โค๏ธ

renatusyacob a month ago

renatusyacob

๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘

brighton_ross_kinemo a month ago

brighton_ross_kinemo

๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘

saddy_omane a month ago

saddy_omane

Kazi iendelee๐Ÿ”ฅ๐Ÿ‘

officialtanzanian01 a month ago

officialtanzanian01

All the best Dr. ๐Ÿ”ฅ

rahim_masimike a month ago

rahim_masimike

Kuna swali najiulza ila acha nikae kimya tuu ๐Ÿ˜ข

makole.alpha a month ago

makole.alpha

Very responsible leader, you deserve to be DC๐Ÿ‘.

onesphoroz_son a month ago

onesphoroz_son

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ๐Ÿ‘๐Ÿ‘

dkt._kisatu_phd_officially_ a month ago

dkt._kisatu_phd_officially_

๐Ÿซก๐Ÿซก๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟKazi Na Utu Tunasonga Mbele. @sophiamfaume ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿซก๐Ÿซก๐Ÿซก

cde_massawe a month ago

cde_massawe

All the best

rajab_said_2304_miraj a month ago

rajab_said_2304_miraj

โค๏ธโค๏ธโค๏ธ

Load More

More posts

back to up