Instagram story viewer> @be77lion_> Post
a month ago
Photo by JK on October 01, 2026. May be an image of text.
0
Posted On: October 1st 2026, 06:06 pm
Mathayo 6:33 — “Bali utafuteni kwanza ufalme wake, na haki yake; na hayo yote mtazidishiwa.”

Tutafute haki yake na Ufalme wake na kila aliloahidi juu yetu atalitimiza, vikombe vyeti vitafurika baraka na neema zake.
Namuomba Mungu akujaalie neema na rehema zake katika kila unalotenda likazae matunda na kupata kibali mbele zake.

Amen.

More posts

back to up