Yanga hamna uongozi wote hao niwahuni tu
Mpigaji alitumwa na injinia
Wafungiwe tu blichi wakapakie chooni sio cha ndimu
Sawa
Subiri rungu la CAF wewe. Naona mnajaribu kumpooza.
“Wamenipiga kitasa wale mbwa” 😂😂😂😂😂 pole sana hii ndio Utopolo tumechanganyikiwa
Bora mashabiki wafungiwe make hawana faida uwanjani wamepooza kama uji
Ila yote haya Yana azishwa nawatu wa afrca maghali ko tunaposema tupunguze unyonge tunbeba lawama
Yule msela alijua hii ni ndondo cup au maan uko ndo kuna iyo mambo aisee
Anapigwa kocha walinzi wanamzuia mtu ambae anaenda kumkamata aliempiga.