Posted On: September 24th 2026, 09:24 pm
Happy Birthday to the woman who means the world to me. ❤️
Mama, hakuna maneno yanayoweza kueleza jinsi nilivyo grateful kuwa na wewe katika maisha yangu. Umenilea, umenifundisha, umenisimamia na umekuwa nguvu yangu katika kila hatua.
Mungu akupe afya, amani, furaha na maisha marefu yenye baraka. Kila jambo jema unalolitamani moyoni mwako, Mungu akujalie.
Happy Birthday, Mama. I love you more than words can say. ❤️🎂👑