Instagram story viewer> @duma_udsm> Post
12 days ago
Co Creator: daruso_udbs
12
Posted On: October 24th 2026, 04:59 pm
Tagged Users:
DUMA ni nini? 👀💚💙

DUMA (Dar es Salaam University Marketing Association) ni association ya wanafunzi wa University of Dar es Salaam inayolenga kuendeleza marketing knowledge, creativity, innovation na practical skills kupitia branding, digital marketing, content creation, networking na real-world marketing experiences.

Lakini ngoja nikuulize swali moja… Kama unadhani marketing ni kuuza bidhaa tu, nani amekuambia hivyo? 😂👀

Marketing ni jinsi unavyojibrand, unavyowasiliana, unavyovutia attention na unavyowafanya watu waone value yako. Hata wewe ni brand; swali ni, unai-market vipi? 🔥

DUMA ni nafasi ya kujifunza, ku-connect, ku-share ideas na ku-transform creativity yako into opportunities.

So, kama bado unasubiri graduation ndiyo uanze kujenga marketing skills zako, unasubiri nini hasa? 😂

JOIN DUMA. EVERYTHING IS MARKETING. 💚💙

#duma #everythingismarketing #fyp #udsm #viralvídeo
Comments (12)
chriss_geoff 12 days ago

chriss_geoff

🔥🔥

_._norah_ 12 days ago

_._norah_

🔥🔥

ms.nancynelson 12 days ago

ms.nancynelson

Everything is Marketing!💙💚

comrade_muro 12 days ago
min_chy_ 12 days ago

min_chy_

🔥🔥

walteryesman 12 days ago

walteryesman

💪🏾💪🏾💪🏾

More posts

back to up