Posted On: October 11th 2026, 11:57 am
Isaya 49:1–2 (SUV)
“Enyi visiwa, nisikilizeni; enyi watu wa mbali, tegeni masikio; Bwana ameniita tangu tumboni; tangu tumboni mwa mama yangu ametaja jina langu, Na kinywa changu amekifanya kuwa kama upanga mkali; katika kivuli cha mkono wake amenificha; amenifanya kuwa mshale uliong’arishwa; katika podo lake amenificha.”
BECOMING WHO GOD CALLED ME TO BE✅❤️
THANK YOU GOD FOR THE CALL💪❤️
📸 by
@actrosmedia Load More