Instagram story viewer> @mrusedtz> Posts
21
posts
19.2K
followers
334
following
🇹🇿
Creative Mind
⚙️ @usedthings_tz
Marketing Manager @smallplanetsinza @smallplanet2020
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
ASANTENI SANA! ❤️🙏🏾

Jana ilikuwa ni usiku wa kipekee sana! 🔥🎶 Tunapenda kutoa shukrani zetu za dhati kwa wateja wetu wote, mashabiki na kila mmoja aliyefika na kuwa sehemu ya show kubwa ya MBOSSO. ❤️

Upendo wenu, support yenu na energy yenu ndiyo iliyofanya usiku huu kuwa wa kukumbukwa! 🥂🔥

Bila nyinyi, hakuna sisi. ASANTENI kwa kuifanya show hii kuwa SUCCESS kubwa! 🙏🏾❤️

MBOSSO NIGHT — TULIKUWA PAMOJA, TUKAFURAHI PAMOJA! 🔥🔥#smallplanetsinza @mbosso_ by @mrusedtz
0
6 days ago
Download
LETS DO IT AGAIN CHAMPEONES🏆🏆💙🤍💙🤍💙 taken in Dar es Salaam, Tanzania by @mrusedtz
2
6 days ago
Download
✨ Karibu Small Planet Sinza! ✨

Setup yetu ya leo imekaa vizuri sana na mazingira ni ya kuvutia zaidi. Mkono wa timu yetu umeonekana kwenye kila kona kuhakikisha unapata experience bora na vibe la kipekee.

Karibu uungane nasi ndani ya Small Planet Sinza na ufurahie huduma bora, mazingira mazuri na burudani ya kiwango cha juu.

📍 Small Planet Sinza
🔥 Setup ya leo ni moto, karibu kwenye vibe zuri la Small Planet!

#SmallPlanetSinza #SetupYaLeo #GoodVibes #KaribuSmallPlanet by @mrusedtz
2
8 days ago
Download
Ready, Set, Pour! 🍾 Kesho zamu ya Small Planet Sinza na Mbosso. Bottler girls wetu washajipanga kukupa huduma ya VIP. Tukutane hapo! 💫

Tiketi: 
20,000 TZS (Regular) 
30,000 TZS (VIP)

Tiketi zinapatikana Small Planet Sinza & Tabata au nunua kupitia Nilipe App sasa hivi usecure tiketi yako. taken in Sinza Mori,Dar es Salaam by @mrusedtz
68
9 days ago
Download
Tuna Sababu zaidi ya bilioni 1 za kukukaribisha Small Planet Sinza Ijumaa hii (17/07/2026) live performance kutoka kwa fundi wa hizi kazi, Mbosso Khan @mbosso_

​Chagua upande wako mapema na usecure tiketi yako kupitia Nilipe App au fika Small Planet Sinza & Tabata.

​KIINGILIO:
💵 Regular: 20,000 TZS
💎 VIP: 30,000 TZS

​Usisubiri foleni mlangoni, nunua sasa hivi! Tukutane Sinza! 🌍🔥
@shifta_ @nishamsmarty @dj_dickson255 @dj_nas.kidd @chobydaresalaam @dj_vanillah @djnameless_tz @donnythedeejay @mrusedtz @ashton_ganda taken in Sinza Mori,Dar es Salaam by @mrusedtz
62
12 days ago
Download
Video inajieleza! 🔥 Hivi ndivyo stage na Red Carpet itakavyoonekana tarehe 17/07/2026 kwenye usiku wa Mbosso @mbosso_ pale Small Planet Sinza!

​Maandalizi ni makubwa na ya kishindo. Usipitwe na muonekano huu wa kibabe!

​Tiketi:
🎟️ Kawaida (Regular): TZS 20,000
👑 VIP: TZS 30,000

​Jinsi ya Kupata Tiketi:
📲 Kata mtandaoni kupitia Nilipe App
📍 Au fika Small Planet Sinza & Small Planet Tabata.
​Wahi tiketi yako sasa, tukutane tarehe 17! 🚀 taken in Dar es Salaam, Tanzania by @mrusedtz
16
15 days ago
Download
Kambini kidogo team nzima ya Burudani Small Planet kupika vitu kujifua kwaajili ya Show ya Mbosso Tarehe 17/07/2026 Small Planet Sinza.

@shifta_ 
@nishamsmarty 
@dj_dickson255 
@dj_vanillah 
@ashton_ganda 
@dj_nas.kidd 
@donnythedeejay 
@djnameless_tz 
@chobydaresalaam 
@mrusedtz 

stay tune @smallplanetsinza by @mrusedtz
27
16 days ago
Download
Mood Ya Wana Sinza Wa Argentina Kuelekea Tarehe 17/07/2026 MBOSSO DAY....

REG 20,000 NA VIP 30,000
Tiketi Zinapatikana Small Planet Sinza & Small Planet Tabata
@mbosso_ @chobydaresalaam @smallplanet2020 @faridy_m2peace @shifta_ @ashton_ganda taken in Dar es Salaam, Tanzania by @mrusedtz
2
18 days ago
Download
Save the date 17/7 #haiwezi kuwa kawaida 😎

Cc @mbosso_ taken in Sinza Mori,Dar es Salaam by @mrusedtz
0
22 days ago
Download
TIKETI ZINAPATIKANA SASA!
Usisubiri hadi dakika za mwisho! Jihakikishie nafasi yako mapema
kwa kununua tiketi kupitia Nilipe App.
* Regular - TSh 20000
A VIP - TSh 30000
Tarehe 17
Small Planet - Sinza
Mbosso anakuja kukupa burudani ya kiwango cha juu. Hakikisha wewe na marafiki zako mna tiketi mapema ili msikose usiku huu wa
kipekee.
Nunua tiketi yako sasa kupitia Nilipe App!
Usikubali kubaki nje... nafasi yako inaanza na tiketi!
#TiketiZinapatikana #NilipeApp #MbossoLive #SmallPlanetSinza
#Sinza LiveShow taken in Sinza Mori,Dar es Salaam by @mrusedtz
1
22 days ago
Download
BIG ANNOUNCEMENT 17/0/ @mbosso_ 

EBU MTAG RAFIKI YAKO AMBAYE HAUTAMANI AKOSE TAREHE 17/07

MBOSSO LIVE IN SINZA 🔥🔥🔥🙌🏽🙌🏽🙌🏽 taken in Los Angeles, California by @mrusedtz
12
23 days ago
Download
SINZA ARE YOU READY FOR MBOSSO KHAN??
This 17 July We Outside 
Tell Ur friends it's gonna be Lit 🔥 
Book your tickets and Reserve your Table 
Get Your Ticket Now On Nilipe App 20k Reg & VIP 30k
Cc @mbosso_ taken in Sinza Mori,Dar es Salaam by @mrusedtz
33
23 days ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up