Instagram story viewer> @kendracrowntz> Post
10 days ago
0
Posted On: October 27th 2026, 06:24 am
🖤👑 JINSI YA KUNYOOSHA NYWELE KWA UZI BILA KUTUMIA PESA NYINGI! 🧵✨
Je, unajua unaweza kunyoosha nywele zako za asili kwa kutumia uzi tu? 😍🌿
Huhitaji kutumia vifaa vya joto au kutumia pesa nyingi kupata nywele zilizonyooka na kuonekana ndefu zaidi. Unaweza kutumia njia yetu ya asili ya kusuka nywele kwa uzi! ❤️
🧵 HATUA YA 1: GAWA NYWELE KATIKA SEHEMU NDOGO
Gawa nywele katika sehemu zinazokuwezesha kuzifunga kwa uzi kwa urahisi.
🧵 HATUA YA 2: SUKA NYWELE KWA UZI
Anza kufunga uzi kwa uangalifu kuanzia karibu na mizizi kuelekea kwenye ncha za nywele. Hakikisha uzi umekaa vizuri, lakini usiukaze kupita kiasi.
👶🏽 MUHIMU SANA KWA WATOTO!
Unapomsuka mtoto kwa kutumia uzi, hakikisha haufungi kwa kukaza sana. Uzi unapaswa kukaa vizuri bila kuvuta mizizi ya nywele au ngozi ya kichwa. Kukaza nywele kunaweza kusababisha maumivu, kukatika kwa nywele na hata kupotea kwa nywele kwenye maeneo yanayovutwa.
🌿 HATUA YA 3: PAKA MAFUTA YA NYWELE
Baada ya kumaliza, tumia mafuta yanayofaa kwa nywele zako ili kusaidia kuzilainisha na kuzitunza. Unaweza kutumia Kendra Crown Hair Growth Oil kulingana na maelekezo ya matumizi, huku ukimasaji ngozi ya kichwa kwa upole. Usitumie mafuta mengi kupita kiasi.
🛍️ Bidhaa zetu za Kendra Crown:
🌿 Hair Growth Oil — TSh 25,000
🧈 Hair Growth Butter — TSh 30,000
🌺 Ayurvedic Hair Mask — TSh 15,000
📩 Tuma DM kuagiza kupitia @kendracrowntz
🚚 Tunafanya delivery Dar es Salaam na nje ya Dar.
Kendra Crown — Matunzo ya asili kwa kila taji la nywele. 🖤👑
#trendingreels
#viral
#fy
#haircare

More posts

back to up