Instagram story viewer> @sifagospelfest> Post
22 days ago
Co Creator: mrusedtz tridlap sumamwaitenda ericjoh_ eagmaafrica
26
Posted On: October 13th 2026, 09:41 am
ASANTE SANA WANACHUGA / WANA ARUSHA! ❤️🙏

​Bado tunahesabu baraka na kumbukumbu nzuri tulizotengeneza pamoja nanyi. Ushirika wenu, maombi, na uwepo wenu ulifanya tukio hili kuwa la kihistoria na la utukufu kwa Mungu.

​Habari njema ni kwamba, matunda ya kazi hii njema yameonekana! Tumeteuliwa kuwania tuzo za East Africa Gospel Music Awards (EAGMA) kama Best Gospel Event of the Year in East Africa.

​Ili kuileta tuzo hii nyumbani, tunaomba kura yako hivi sasa:
🗳️ Nenda kwenye tovuti: www.eagma.co.tz
🗳️ Chagua kipengele cha Best Gospel Event of the Year in East Africa
🗳️ Tubonyezee kura yako!
​Piga kura sasa, waambie na wengine watupigie kura! Mbarikiwe sana. ✨

📽 @alpha_teamvideos

#SifaGospelFest2026 #Arusha #KilaMwenyePumziNaAmsifuBwana
Comments (26)
judithjoseph3811 20 days ago

judithjoseph3811

Watu wa Arusha hii ni yetu sasa tupige kura kwa wingi 🙏kama shukurani

sillaaronyalonde 21 days ago
sillaaronyalonde 21 days ago
moniqueswai 21 days ago

moniqueswai

🔥🔥

eagmaafrica 21 days ago

eagmaafrica

💻 Kupiga Kura Kupitia Tovuti 👉 Tembelea: www.eagma.co.tz -Nenda kwenye sehemu ya “Vote” -Chagua kategoria kuu -Chagua kategoria ndogo -Teua msanii au muziki pendwa -chagua nchi -chagua vote package -chagua njia ya malipo -Weka namba yako ya simu na kamilisha malipo ____________________________________ 📱 Kupiga Kura Kupitia WhatsApp -Tuma ujumbe wenye neno "VOTE" au "EAGMA" kwenda +255 679 000 772 -Tuma Code ya mgombea (Mfano: E001) -chagua nchi -chagua vote package -chagua njia ya malipo -Weka namba yako ya simu na kamilisha malipo

usedthings_tz 22 days ago

usedthings_tz

🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

clay311885 22 days ago

clay311885

🙌🙌🙌🙌🔥🔥🔥

tina_deuss 22 days ago

tina_deuss

🙌🙌

hakiely_ 22 days ago

hakiely_

🙌🙌🙌

agness.thomas_darabe 22 days ago

agness.thomas_darabe

🔥🔥🔥🔥

josephgwaje459 22 days ago

josephgwaje459

Nyomii hiyoooo🔥

peacemrisha 22 days ago

peacemrisha

Ilikuwa nzuri sana, Asanteni sana👏👏

Load More

More posts

back to up