Instagram story viewer> @edokumwembe> Post
3 days ago
Mashabiki wenzangu wa Simba naomba sasa tukafue jezi aisee. Siku ya nne leo. Tunasumbua watu kwa harufu katika Daladala. Hawatuambii tu lakini imekuwa kero. Ni kweli tumeshinda lakini tukafue jezi na kuoga sasa @kaymziwanda1 @donfumbwe @mikoikisugu @philymushi ....
444
Posted On: October 13th 2026, 11:01 am
Mashabiki wenzangu wa Simba naomba sasa tukafue jezi aisee. Siku ya nne leo. Tunasumbua watu kwa harufu katika Daladala. Hawatuambii tu lakini imekuwa kero. Ni kweli tumeshinda lakini tukafue jezi na kuoga sasa @kaymziwanda1 @donfumbwe @mikoikisugu @philymushi ....
Comments (444)
rahimrashid579 6 hours ago

rahimrashid579

Masikini akipata matako yanalia mbwata๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

aunt_salha 8 hours ago

aunt_salha

Tatizo una jezi moja 1 nunua jezi zimeshuka bei

elias_maziku29 15 hours ago

elias_maziku29

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

salome18132 20 hours ago

salome18132

Hatuogi na hatufui anaekereka anywe sumu ๐Ÿ˜‚

rayson_82 a day ago

rayson_82

Umetuchokoza sasa, Tunaaanzaaa Upyaaaaaaa...

leewadata a day ago

leewadata

Mbona tunafua na ikikauka tu tunavaa na kutambaa nayo ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

mefa_lililanga a day ago

mefa_lililanga

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ watajua hawajui๐Ÿ˜‚

vichuchebe a day ago

vichuchebe

uzuri ni kwamba ww ni mnyama mwenze2 hayo mwingine yanazungumzika

kemosahbee_ a day ago

kemosahbee_

๐Ÿ˜‚

daniely_tz_ a day ago

daniely_tz_

Hata daradara nichafu piah

official_myinga a day ago

official_myinga

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚daaah bola maana kuna mmoja nilipanda nae gari moja kwenda kibaha daah hadi kichefuchefu

happinesskatala a day ago

happinesskatala

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚legend hatuvui hadi mwezi uishe huu hawa tunao๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

barua_rahimu a day ago

barua_rahimu

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

veronicakitundu a day ago

veronicakitundu

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Bora umewaambia, nimepishana na mtu jasho linatema hatari

yuzohjr19 2 days ago

yuzohjr19

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Load More

More posts

back to up