Instagram story viewer> @yanga_sc_group_of_supporters> Post
2 days ago
82
Posted On: October 14th 2026, 10:04 pm
Inashangaza kidogo , Serengeti Boys wameshindwa kufuzu AFCON 2027 kwa shilingi , baada ya Somalia kufanana kila kitu na Serengeti Boys ikaamuliwa irushwe shilingi na Somalia wamepita ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Comments (82)
burute_tz 4 hours ago

burute_tz

Fungu la kukosa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

musakapemula 20 hours ago

musakapemula

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

nkeyemerasaddam a day ago

nkeyemerasaddam

Apo Mm sijaelewa mbona mrusha shiling km aligeuza shiling

prezupoletz a day ago

prezupoletz

Hii ndo afrika nnayoijua mm sasa!!qubabeki ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

amon_mwakyanjala a day ago

amon_mwakyanjala

Mnashangaa hyo wkt kweny CAF mtu anakua bingwa kwa Faida ya goal la ugenini๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

madafub a day ago

madafub

Hii Sheria Bado ipo

oficialmedardka a day ago

oficialmedardka

Hii nakumbuka michuano ya Tusiker Simba , Yanga na timu nyingine moja walilingana kila kitu ikatumika sheria ya kuokota karatasi iliyoandikwa nafasi yako basi bana. Hiyo timu nyingine ilichagua kuwa ya kwanza , Simba wakachagua kuwa pili na viongozi wa Yanga walichagua karatasi imeandikwa " SISI TUMEJITOA KWENYE MASHINDANO" huu mpira una kanuni nyingi za hovyo sana.

stephenboniphaceyela 2 days ago

stephenboniphaceyela

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚, hivi kweli bado tupo gizani kiasi hiki ???

farris_mohamedayub 2 days ago

farris_mohamedayub

Ukisikia ushindi wa mezani ndio huu sasa

lukingakhadija 2 days ago

lukingakhadija

Manina hao shilling ya nn si wangecheza game nyingine ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

kea__d 2 days ago

kea__d

Wapo sahii au nyie mnajua TU kushangilia mpira sio kujua na sheria๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

official_the_jackal 2 days ago

official_the_jackal

mpira ss ivi unachezewa chumbani

reginalddepiere 2 days ago

reginalddepiere

๐Ÿ˜ข๐Ÿ˜ข๐Ÿ˜ข

gift.3366 2 days ago

gift.3366

Mlitaka kama ya umiss

street_kings009 2 days ago

street_kings009

Njia ya kijinga mno ya kuamua jambo la maana kama hilo. 1. Goal difference 2. Head to head 3. Goals scored 4. Goals conceded 5. Most fair play team 6. Cards received ( Yellow & Red cards ) Njia ni nyingi mno.

Load More
back to up