21 days agoFor me Miguel Gamond ni best kuliko Nabi. Why kwasababu Nabi ni mzuri kwenye kubuld structure na pattern nzima ya kiuchezaji, timu inatengeneza mashaambulizi taratibu huku ikitegemea ufanisi na uwezo WA namba 9, kuamua mechi. Ubora wa Nabi upo kwenye tactical planning ubora wa nidhamu na uwezo wakuaandaa timu kulingana na mpinzani anaye kutana nae. Wakati huo Gamond, nguvu yake ipo kwenye Kasi nguvu kwenye kukaba, (physical battle ✔️) high pressing, attack with high number of players, mnzize, max, pacome, Aziz ki ten kwa high pressure with high speed. so kifupi timu ya Nabi inasubiri mpinzani afanye makosa then wakuadhibu na walikuwa Bora kwenye Hilo coz walikuwa na namba 9 ambaye ni killer fiston mayele, lakin timu ya Gamond inakulazimisha ufnye makosa kwa kukufanyia high pressing with high intensity, na wakikupora mpira wanakuattack kwa speed kubwa na idadi nyingi ya wachezaji, so that why na sema Gamond nibora coz, kwa mifumo Yake na Aina ya mpira anaocheza nirahic kupata matokeo kuliko Nabi.💪🏽👑
