Instagram story viewer> @shimba_3> Posts
67
followers
336
following
🎙️FOOTBALL TACTICAL ANALYST ⚽🌍
I am a youth sickle cell awareness voice committed to building resilient, informed, and empowered African communities.
POSTS STORIES REELS TAGGED
#football 
#tacticalanalysis 
#trending by @shimba_3
1
4 days ago
Download
#football 
#tacticalanalysis 
#healtheducation 
#sicklecellawareness 
#healthcare by @shimba_3
1
20 days ago
Download
Ligi kuu ya soka nchini ispania pia hatukuicha mbali nayo tuliizungumzia huku madrid akienda international break akiwa nafasi ya 4 kwenye msimamo by @shimba_3
6
a month ago
Download
Pengine watu wengi waliikatia tamaa @mancity baada ya kuondoka kwa kocha pep lakini mpaka sasa tunavyozungumza Manchester city wako kileleni mwa msimamo wa ligi kuu England wakishinda mechi zao zoote ambazo wamecheza. ukiwa kama mdau wa @soga za kimichezo unaiona Manchester city wakiendelea kusalia kileleni mwa msimamo mpaka mwisho wa msimu? tuambie maoni yako kwenye comment hapo tutazijibu 🙌🏻🔥 by @shimba_3
6
a month ago
Download
Kipi kiliwaangusha arsenal katika mchezo wao wa juzi ambao walipoteza kwa mabao matatu kwa sifuri dhidi ya @Brighton msikilize hapo mchambuzi wetu @shimba_3 akielezea kwa undani zaidi 
@steven_kimory 🎤
@anuary_jamal 🎥 by @shimba_3
14
a month ago
Download
🥺🥺🥺🥺

🎙️kipindi cha Kwanza kulikuwa na ukosefu WA ubunifu  hasa wakimbinu game ilikuwa low Sana, na kulikuwa na matumiz mengi ya nguvu kiasi cha kupelekea game kuzalisha faulo nyingi, na thrown in balls nyingi kitu ambacho kilipelekea game kukosa mvuto 

🎙️ Second half:- baada ya Kadi nyekundu na Atretical kuwa mbele kwa bao 2, nilitegemea Atretical kudominate game kwa kiasi kikubwa na kumaliza mchezo kwa idadi kubwa ya mabao, 

✍🏽 Why? Coz uko mbele kwa goli mbili dhidi ya mpinzani ambaye yupo pungufu uwanjani, licha ya Ivo tuu kabla ya kuwa pungufu ulishaonesha kumkamata katika maeneo yote hatalishi. Kwann usitumie advantage ya mchezaji mmoja WA Ziad ulienae kwa kupanua mapana ya uwanja  ili  kumfanya Real akufate pembeni na kutengeneza half spaces Gap's then  kushambulia kwenye hizo half spaces ili kutengeneza hatari zaidi za kumuazibu mpinzani wako kwa goli nyingi.

✍🏽 Kwa mtazamo wangu wa kiufundi, Madrid wanahitaji No.6/Deep-lying playmaker mwenye vitu hivi:

1. Press resistance
Aweze kupokea mpira akiwa amezingirwa na wachezaji 2–3 na bado atoke nao.

2. Tempo control
Aweze kusema: “tuliza mchezo” au “ongeza speed.”

3. Progressive passing
aweze kupasua line ya midfield kwa pasi moja.

4. Defensive intelligence
Afanye covering wakati full-backs wanapanda. Kipindi timu inapopoteza umiriki ikiwa kwenye transition shape, aweza kufanya blocks ya transition za mpinzani.

5. Positioning awareness 
 Akae mahali sahihi muda wote.

By Godwin Shimba ✍🏽 💪🏽 

#laliga
#sport
#tacticalanalysis 
#football by @shimba_3
1
a month ago
Download
😂😂😂 sijapenda kwann mmefanya Siri eti, daaaaah 😂😄

✍️Kifupi Alonso anakazi kubwa yakubadirisha muundo wake wauzuiaji ebu imagine structure yake ya kiulinzi ni 5-4-1, Yan akiwa Hana mpira anakuwa na watu watano nyuma ya mpira, wanne katikat  na mmoja mbele kama target man. Arafu ndio timu pekee kwenye big six imeruhusu magoli mengi mpaka sasa Chelsea imeruhusu magoli 12 katika mechi 5, it's means ana wastan wakurhusu goli 2 kila mechi ebu imagine.🤫 by @shimba_3
1
a month ago
Download
✍🏽 kwa mtu alie angalia mechi kipindi cha Kwanza ilikuwa ni rahisi Sana kukiri kuwa Simba SC anaweza dondosha alama Leo, au kusema azama lazima watapata bao kwenye hii game. 

Kwanini :- 

✍🏽 Kwasababu bila mpira Azam walikuwa na shape ya 4-1-4-1, wakati huo Simba akiwa na mpira ni 3-4-3, so alichokuwa anakifanya ibenge ni nin, fanya high pressing kwa madefender WA Simb block katika ya kiwanja wasilete madhara kwetu na wasipate Mda wakufikilia jinsi ya kutuadhib, tukisha regain possession move mpira kwenda kwenye eneo la mpinzani kwa haraka kabla Simba haja Rudi kwenye defence structure, coz kama tukifanya transition kwa haraka it's means Azam atakuwa na advantage ya number nyingi itakuwa ni 3 ya Simba dhidi ya 5 ya Azam.

✍🏽Libasse kwenye ubora, atakufunga asipo kufunga atatengeneza nafasi ya kukufunga akishbdwa na Hilo basi ata hakikisha anakutafutia matatizo ya kumfanyia mazambi, kifupi Jamaa akiwa kwenye ubora wake nikirusi ambacho kitakutafuna kivyovyote vile, kipindi cha Kwanza  msindo na wenzake nikama walifanikiwa kuzuia out to in run's zake, walizuia Hadi out to in pass zake, kipindi cha pili nikama alikuja na maswali mwingine ambayo msindo kwa mara kadhaa aliionekana kushindwa kuyajibu. 

✍🏽 Fasika na stanic nikama kuna chemistry inakosekana Kati yao Leo Simba kama wangeanza na typical number 9, nadhan first half wangepata goli center back za Azam zilikuwa zinaachia space kubwa Sana katika yao

✍🏽 Game kubwa haitaji total dominance ili umalize mchezo inaitaji kuwa clinical na maturity ya kufanya mambo ya muhimu tuu, Simba alijua kupitia transition nikama Azam amekuja na majibu ya transition zetu so tufany nn ni kuweka pressure kubwa na assurance kwenye matukio yako.

✍🏽 Hivi kuna chama Mzee dunian 😀👋🏽

By Godwin Shimba ✍🏽 💪🏽 

#sport 
#football 
#tacticalanalysis by @shimba_3
1
a month ago
Download
✍🏽Aise Joseh anakazi kubwa ya kufanya kwenye defence structure yake Yani kama kila transition anayo ifanya mpinza inakuja kublokiwa na backline yako na sio midfielder it's means uko kwenye Atari ya kuadhibiwa Mda wowote ule. 

✍🏽Ninachojiuliza ni kama Elche anapata goli 2 ndani ya dakika "15" VP ukikutana na timu ambazo zina world class attacker's

✍🏽Aina ya magoli tunayo kosa🥺. 
 ✍🏽Aise Vin ameporomoka Sana, timu inatengeneza nafasi kupitia upande mmoja tuu kulia, ila upande wakushoto hautoi big impact kutokana na game mbaya ambayo amekuwa akiitoa Vin. 

By Godwin Shimba ✍🏽💪🏽 

#sport 
#tacticalanalysis 
#football by @shimba_3
1
a month ago
Download
Ryan Garcia 💪🏽💪🏽
 Jamaa toka acheze na Davis mwaka 2023, chalii kabadilika Sanaaa, game yake imekuwa Bora Sana, kwa wanaofatilia boxing 🥊 watakuwa wanaelewa nn nasema.

✍🏽 Baada ya Pambano lake yeye na Davis kacheza mapambano 5, kashnda mapambano ma 4, kapoteza 1 kwa "unanimous decision ".

✍🏽 Alicheza dhidi ya  Oscar duarte akshinda kwa KO, akacheza dhidi ya Devin Haney akashinda kwa "majority decision ", akacheza dhidi ya Rolando alimaarufu kama "Rolly" akapoteza kwa unanimous decision, akaja akacheza na Mario Barrios mtu mbadi Garcia akshinda kwa TKO, 
JANA Garcia kanipigia Conor Benn mtu mbaya sanaaa, kabla ya kucheza na Garcia Jana Conor Benn alikuwa na win 25 loss 1 na KO's 14, lakin Jana alidondoshwa na Ryan Garcia tena kwa KO.

✍🏽 Kifupi Ryan Garcia Aliyecheza na tank davis mwaka 2023 sio Garcia WA Leo. Janja ana improve game to game, binafsi najikuta kuwa mshabiki WA Ryan Garcia 💪🏽👏🏽. by @shimba_3
1
a month ago
Download
✍🏽Betis walifanikiwa kuifanya attack ya Madrid iwe predictable Madrid walikuwa wakijaribu kupeleka mpira kwa Mbappé/Vinícius, lakini Betis waliweka watu wengi kwenye maeneo ya mwisho na kupunguza spaces za kupenya. Hivyo Madrid walimiliki na kusogeza mpira, lakini walikosa ile final action ya kuua mchezo.

✍🏽hii ni warning ⚠️ kubwa kwa Madrid wanapaswa kuchange inability ya kubadilisha dominance kuwa Goals, 

NOTE: Kama hii  itaendelea dhidi ya timu zinazojilinda vizuri, Madrid watapata shida zaidi

Mbappe Siku mbaya ofisin 🙌🏽🥺

By Godwin Shimba ✍🏽💪🏽 
#sport 
#football by @shimba_3
0
a month ago
Download
✍🏽 dakika za mwanzoni Ipswich waliwasumbua United kwa transition na direct running. Lakin united hawakupanic, baada ya 0-1 walibadilisha momentum haraka na kuanza kucontrol maeneo ya kati na kuanza kuingia kwenye box la Ipswich mara kwa mara.

✍🏽Cunha + Bruno walivunja defence line ya Ipswich.
 Cunha alishambulia nafasi Kati midfielde na defence. Huku Bruno alishambulia half-spaces zinazo Achwa na kuingia kwenye box.

✍🏽Mainoo aliongoza control midfield. Aliisaidia united kuwa na utulivu zaidi.

✍🏽 Ipswich kwenye defence transitions walikuwa na weakness kubwa,
 BIG MISTAKE:- walimpa Bruno nafasi nyingi na Uhuru WA kuzunguka mbele ya midfield na kuingia kwenye box.

By Godwin Shimba ✍🏽💪🏽💪🏽 

#sport
#football by @shimba_3
1
2 months ago
Download

Download All

Save the photos and videos currently loaded on this page.

0Photos
0Videos
Ready to download 0 / 0

Keep this tab open until your download is ready.

back to up