Instagram story viewer> @monica._patrick> Post
21 days ago
Co Creator: woyomo_tz
2
Posted On: October 15th 2026, 08:53 am
Tagged Users:
Siku ya Nyerere Day (jana) mimi na my colleague @woyomo_tz pamoja na champions wetu wa kupinga ukatili wa kijinsia na kupambania haki za manusura tulitumia siku hiyo kujumuika na wanajamii wa kata ya Mbaragane mtaa wa Sulu wilayani Maswa.

Tukiwa tunaendeleza utekelezaji wa mradi wetu wa Justice For Survivor na efforts zetu katika kupinga vitendo vya ukatili wa kijinsia na upatikanaji wa haki kwa manusura wa ukatili wa kijinsia mkoani Simiyu.

Ulikua wakati mzuri wa kujifunza, kuburudika na kusikia kutoka kwa wanajamii wenyewe 💃🏼💃🏼💃🏼.

Kijiji kwa kijiji mpaka kieleweke 🔥 .

#WatchMonicaWork
Comments (2)
funy_nana 21 days ago

funy_nana

👏

drmbuta 21 days ago

drmbuta

🔥

More posts

back to up