
5 minutes agoInatoka kaliua kwenye asali na maziwa, unakuja kuishi Tandale na kuanza kula mboga za majani zinazomwagiliwa kwa maji taka.
16 minutes agoWazungu wanatoka ulaya kwenda GEITA kuchimba dhahabu, halafu mtu anatoka geita anakuja DAR Kuuza chupi
