Instagram story viewer> @mnazi_tv> Post
4 days ago
Co Creator: queesbees monnyhimself_tz
5
Posted On: October 16th 2026, 02:04 pm
Moja ya mwanakundi kutoka kundi la muziki Arusha @queesbees ambaye ni @vevo6732 ameelezea kuhusu moja ya kipande katika video yao ya "Niko na raha zangu" ambapo aliingia kwenye choo cha wanaume na kufukuza mwanaume kisha yeye kutumia choo kile ilihali yeye ni mwanamke, na amesema ilikuwa si kwa ubaya bali ni kufikisha ujumbe.
Comments (5)
deep_n0rth a day ago

deep_n0rth

Ile video Ina portrai upinde to my view 😂

vevo6732 a day ago

vevo6732

😂😂😂

kineloyesir 3 days ago

kineloyesir

Hatujiulizi wala nn😂😂

director_aaron.x 4 days ago

director_aaron.x

Lakini @vevo6732 ulikojoa bhan

ramadhanifadhili710 4 days ago

ramadhanifadhili710

😍❤️nawakubali sana

More posts

back to up