Posted On: October 17th 2026, 04:03 pm
ππππππππ½ββοΈππ½ββοΈNdugu zetu MUNGU ni MWEMA SANAAAAHππ½ββοΈππ½ββοΈπππππ
Kwa mara nyingine Mungu ametusimamia mimi na Mke wangu kwa pamoja tumefungua Tawi jipya la Bucha la
@migebuka_fresh Kigamboni π₯°π₯°π₯°πππππππ
Hili ni Bucha letu la nne sasa kufungua lengo likiwa kuwafikia wateja wetu wote kwa ukubwa na urahisiππππ
Tawi hili kwa upekee wake niliamua kufanya supriseπ€£π€£π€£ kwa mke wangu akiwa hajui kama nimelitengeneza kwa na kulikamilisha kupitia mafundi wetu wa
@msechu_luxury_homes ππ€£π€£
MUNGU NI MWEMA SANA AMETUPA TENA NEEMA YA KUWA NA BUCHA LINGINE HAPO KIBADA KIGAMBONI KWENYE ROUD ABOUT @migebuka_fresh kigamboni.
Haya sasa kuanzia Jumatatu saa 1 kamili Asubuhi wakazi wote wa Kigamboni na Viunga vyake Bucha liko kibada kazi kwenu wateja wetu mfike kwa wingi mchukue samaki fresh kutoka kwetu @migebuka_fresh
KUMBUKA TUNAUZA SAMAKI WA KILA AINA NA WOTE WAKIWA FRESH KABISA
Namba rasmi za simu za bucha letu la @migebuka_fresh Kigamboni ni π0747950820 au π0676130199
Piga simu weka oda yako tukuhudumia kwa usafi na weledi wa hali ya Juuπππππ
KARIBUNI SANA
@migebuka_fresh @migebuka_fresh @migebuka_fresh
#Chimhila Load More