Instagram story viewer> @alikamwe> Post
5 hours ago
Katika Mechi ambayo Wachambuzi wote wameandika Makala za kumchamba, Kamaliza Dakika 60 uwanjani akiwa na Goli 1, Asist 2 .. 🙌🏽

Bishoo @albert_kangwanda_11 Linajua sana Boli Kudadeki🧠
1718
Posted On: October 17th 2026, 03:57 pm
Katika Mechi ambayo Wachambuzi wote wameandika Makala za kumchamba, Kamaliza Dakika 60 uwanjani akiwa na Goli 1, Asist 2 .. 🙌🏽

Bishoo @albert_kangwanda_11 Linajua sana Boli Kudadeki🧠
Comments (1718)
askofunicknsemwa 2 minutes ago

askofunicknsemwa

👏👏👏👏

king_p_music_production 2 minutes ago

king_p_music_production

Msiwatetee wachezaji wanakera tunata raha zaidi😢

honest_mocca 2 minutes ago

honest_mocca

Ukiona analaximishiwa kupambwa hakuna chezaji humuu😂😂

kennbeth508 2 minutes ago

kennbeth508

Piga keleleeee libase moto 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

gracemarine9 3 minutes ago

gracemarine9

Anajua mpira lakini aache ujinga na ubishoo akiwa uwanjani na jersy ya Yanga

kennbeth508 3 minutes ago

kennbeth508

Piga keleleeee libase moto 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

sama.jr_03 4 minutes ago

sama.jr_03

Mpira sio mapenzi unachezwa uwanja wa wazi

iam_omarion96 5 minutes ago

iam_omarion96

Muelekezeni huyu jamaa anazingua

rashmane22 5 minutes ago

rashmane22

Semaji ukweli malanyingi uketa amani ukiwa kalibunae mwambie mashabiki wayanga wanajuwa mpila ivo badilika mana leo angecheza kikubw ilikuwa goli7 ila kacheza ovyo sana na sio leo bali ana mpila wa kishamba wakuto taka kugusana apambane kuupambana kwake ndofuraha kwetu pia nisaidie kumwambia chuga yeye najuwa ila aache uwoga acheze mpila kama anavoche yeye nikipaji amuangalie mwezie kazi moto tu

iblaah_tz 6 minutes ago

iblaah_tz

Uwe unakubali kuambiwa ukweli ,mpira hauchezw chumbani sote tumeona ......tutakuchoka na kaulizako zakidwanzi

rapcha254_ 7 minutes ago

rapcha254_

😢😢

_ndorobo 10 minutes ago

_ndorobo

KWAIYO MSHAJIPATA WANETU TUKIPIGE TENA

sigwa_boy_og 11 minutes ago

sigwa_boy_og

Bro ally kamwe tunakuheshim sana.. punguza ujuaji. Mtu akizingua aambiwe.

massive_gang_worldwide 11 minutes ago

massive_gang_worldwide

Ukweli katukera leo alikuwa na nafac ya kufanya zaidi ya hivyo mzee

damsonofficially 13 minutes ago

damsonofficially

Jamaaa sio aggressive ndani ya box..leo kanifanya nimekumbuka Allan okelo kwa ya kosakosa zake

Load More

More posts

back to up