Instagram story viewer> @crownfmtz> Post
2 days ago
Co Creator: kingsmusicrecords crownmuziki
668
Posted On: October 18th 2026, 04:26 pm
Mfalme wa muziki wa Bongo Flava @officialalikiba alivyowasili na kusalimiana na wasanii wenzake pamoja na wadau mbalimbali wa michezo na sanaa katima fainali za DBL zinazofanyika leo hii hapa International School of Tanganyika.

Endelea kuwa karibu na mitandao yetu @crowntvtz @crownfmtz na tusikilize kupitia 92.1 Mhz DSM, ZANZIBAR & PWANI na DODOMA ni 90.5 Mhz. Pia unaweza kutufuatilia kupitia Redio Box/ Garden Live YOUTUBE channel yetu ni CROWN MEDIA na CROWN TV Chaneli namba 415 Kwenye Kisimbuzi cha Azam (DISH)

#CrownMedia #HapaNiNyumbani #TupoMwakaWaMbele
Comments (668)
rachouzk16 8 minutes ago

rachouzk16

Alikiba huzeeki

__689e 7 hours ago

__689e

Mfalme haezi afford vest😧🤣

ndubularhoda 8 hours ago

ndubularhoda

Kuna mdada namuona kama anapqta tabu ivi anataman kusimama kama spite mbele yao ivi

merryberriany 11 hours ago

merryberriany

Lakini kuna timu ya wanawake wanaocheza mpira wa kikapu kwa watu wenye ulemavu wameshindwa kushiriki mashindano ya afrika kwa kukosa kiasi cha shilingi milioni 100. Tuna safari ndefu kwenye michezo hasa sisi watu wenye ulemavu

hasheem.mohamoud 11 hours ago

hasheem.mohamoud

Ishi miaka 1000 mfalme kila unachofanya tupo nyuma yako

kazo_dikupillah 15 hours ago

kazo_dikupillah

👑👑👑

dulle_accessories_tz 15 hours ago

dulle_accessories_tz

Nyumba nzuri nnazo @tony_dulle

meckykaloka 16 hours ago

meckykaloka

@kapongodan Nakuona tajiri

johaiveny_tzb 16 hours ago

johaiveny_tzb

Mwandishi angalia kabla ya kupost

mchupa7 16 hours ago

mchupa7

😂😂😂🔥🔥❤️

dee_montana1 17 hours ago

dee_montana1

🔥🔥🔥🔥

motorz_tanzania 18 hours ago

motorz_tanzania

A-List Yet One! 💥

stephen_muguna 19 hours ago

stephen_muguna

Looking for Simba🔥🔥🔥real g

kielelezo2025 19 hours ago

kielelezo2025

Team Kiba forever 🔥👏

malisafi_255 19 hours ago

malisafi_255

Tunauza viatu vya kisasa vyenye muonekano wa kifahari bila kutumia pesa nyingi,Karibuni @malisafi_255 uzuri, style na bei rafiki sehemu moja!

Load More

More posts

back to up