
7 hours ago@malisa_gj fanya jambo kwa huyu malaika page yako ni kubwa sana na watanzania tunahuruma mno 😥😥🙏
7 hours agoHabari Kaka @patrickpaul_pr Naomba msaada wa matibabu ya huyu mtoto ili aweze kuwa na afya njema na furaha . Kasinge mnoo Kaka @patrickpaul_pr
