Kwangu mimi ONLY ONE KING ni moja kati ya Album bora zilizowahi kutokea katika historia ya muziki wa Bongo Flava ๐๐พ
Hii Album ilitoka mwaka 2021 na mwaka huu imetimiza miaka mitano. Safari ya dakika 56 inaanzia kwenye OYAOYA na kumalizika kwenye HAPPY ambayo binafsi ndio favorite yangu ๐ฅ
Ukipata nafasi kaisikilize tena ONLY ONE KING ya Mfalme wa Bongo Flava ๐ถ