
6 days agokaribuni nauza nguo za kiume mashati mazuri na suruali nzuri sana pia wiki hii tupo kwenye challange ya siku kumi na nne inaitwa men's 10 pc challange ambayo unajipatia shati tano na suruali tano kali kwa sh 200,000tyu pia ukitaka tukupangie na kukushauri rangi zinazoenda kwa kila suruali au shati tupo kwaajili yako!! Karibuni sanaa
