Instagram story viewer> @keyjanaimpact> Post
8 days ago
Co Creator: rs_ruvuma globalplatform_tanzania
0
Posted On: October 28th 2026, 11:14 am
KEYJANA TALKS RUVUMA: VIJANA WAELIMISHWA KUHUSU FURSA MBALIMBALI ZA MAENDELEO

Vijana wa Mkoa wa Ruvuma wamepata fursa ya kuelimishwa kuhusu fursa mbalimbali za maendeleo zinazotolewa na Serikali pamoja na wadau wa maendeleo, zikiwemo fursa za uwezeshaji, kujikwamua kiuchumi na kushiriki kikamilifu katika maendeleo ya jamii.

Miongoni mwa fursa zilizotolewa maelezo ni mfumo wa Youth Empowerment System (YES), ulioanzishwa na Ofisi ya Rais-Maendeleo ya Vijana, kwa lengo la kuwaunganisha vijana na fursa mbalimbali za maendeleo na kuwawezesha kuzifikia kwa urahisi.

Je wewe ni kijana na unatafuta fursa za maendeleo? Jiunge na mfumo wa YES kupitia tovuti ifuatayo:

🔗 https://portal.vijana.go.tz

================================

KEYJANA TALKS RUVUMA: YOUNG PEOPLE EMPOWERED WITH INFORMATION ON VARIOUS DEVELOPMENT OPPORTUNITIES

Young people in the Ruvuma Region have been equipped with information about various development opportunities offered by the Government and development partners. These include opportunities for empowerment, economic advancement, and meaningful participation in community development.

Among the opportunities highlighted was the Youth Empowerment System (YES), established by the President’s Office-Youth Development, to connect young people with various development opportunities and make them more accessible.

Are you a young person looking for development opportunities? Register on the YES platform through the link below.

🔗 https://portal.vijana.go.tz

#KeyJanaTalks
#KeyJanaImpact
#YouthEmpowerment

More posts

back to up