Posted On: October 29th 2026, 09:32 am
Imetimia mwaka mmoja toka tuwapoteze wapendwa wetu waliojitolea kupambana kwaajiri ya haki katika taifa Lao wakauliwa kinyama vijana kwa watoto wamama kwa wa baba hakika eeeh mungu baba tunakuomba katika siku hii maalum ya maombolezo wale wote waliohusika na unyama huu uwahukumu vizazi na uzao wao wote tunakuomba muumba mbingu na aridhi roho za ndugu zetu uziweke pema peponi Amina
#freedom #mo29 #freetwahamwaipaya #katibampya #fypシ❤️💞❤️