Instagram story viewer> @herinitiative> Post
7 days ago
1
Posted On: October 29th 2026, 04:26 pm
Mpango A unaposhindikana, Mpango B hufungua njia mpya!

📍 Kisarawe, Pwani

Kupitia mradi wa PLAN B, washiriki 50 wamefikiwa na kupatiwa elimu kuhusu haki zao na uelewa wa ukatili wa kijinsia (GBV), ujasiriamali na uandaaji wa muundo wa biashara, pamoja na matumizi ya mitandao ya kijamii kutangaza bidhaa, kufikia wateja na kukuza biashara.

Kupitia mafunzo haya, tunawawezesha wasichana kujitambua, kulinda haki zao na kujenga biashara endelevu, kujipatia kipato na kujenga nguvu ya kiuchumi.

#PlanB #HerInitiative #UwezeshajiKiuchumi
Comments (1)
anthoniakapingu 7 days ago

anthoniakapingu

🔥🔥

More posts

back to up