Posted On: October 30th 2026, 12:42 pm
timu yangu ya nyumbani jpili mnamechi ngumu pia ni nyepesi saana kwa quality mlionayo kwa sasa najua kocha tunae mwenye uzoefu pia anaijua yanga vizuri ni kocha ambaee ana CV kubwa saaaana
Wanangu hatuna mambow mengi ni KUBONDA NA KUWANYONGEA KWAO,,,@kagerasugarfcofficial