Posted On: October 31st 2026, 11:12 am
Unaandaa filamu, tamthilia au onesho na unahitaji mavazi maalumu?
@brie_closet design na kushona mavazi yanayoendana na wahusika na mahitaji ya kazi yako!
Shukrani za dhati kwa pastortonyosborn na
@thekingandthecode kwa kutuamini na kutupa fursa hii. ❤️
📍 Tupo
@osbornsexhibition viwanja vya Posta Kijitonyama. Karibu VIP Booth G20! Karibu ujionee kazi zetu, tuzungumzie wazo lako na uweke oda yako leo!