Posted On: October 31st 2026, 01:31 pm
Usiache Kumwomba Mungu Baada ya Kupata Ulichokuwa Unakiomba. 🙏❤️
Kumbuka, Mungu si wa kumtafuta wakati wa shida pekee, bali pia wakati wa furaha na mafanikio.
Usiache kusali baada ya kupata kazi, mafanikio, au kile ulichokuwa ukikiomba kwa muda mrefu.
Endelea kumshukuru, kumtumaini na kumweka mbele katika kila hatua ya maisha yako.
#LifeofJN