Instagram story viewer> @mlimanitvofficial> Post
3 days ago
Co Creator: darusomlimani daruso_sjmc
2
Posted On: October 31st 2026, 10:57 pm
Katika mwaka huu wa masomo Shule kuu ya uandishi wa habari na mawasiliano Kwa umma (SJMC) imeboresha mitaala ya masomo Kwa ngazi mbalimbali moja katika ya kozi zilizoboreshwa ni Public Relations and Advertising ambayo Sasa inajulikana kama Public Relations and strategic communications (yaani uhusiano Kwa umma na mawasiliano ya kimkakati)
Mkuu wa Idara ya Public relations Dkt. Sophia Ndibalema anaelezea maana halisi ya kozi hiyo tofauti na mitazamo ya watu wengi mtaani.
Comments (2)
g.breez12 a day ago

g.breez12

🎗️ MAPAMBANO DHIDI YA SARATANI NI JUKUMU LETU SOTE! ❤️ Kuna maisha yanahitaji matumaini, wagonjwa wanaohitaji msaada na familia zinazohitaji faraja. 🤝 Tushirikiane kuelimisha, kusaidia wagonjwa na kuendeleza uchunguzi wa mapema. JE, UNAWEZA KUWA SEHEMU YA MABADILIKO HAYA? 🎗️ TUUNGANE KWA MATENDO, SI MANENO PEKEE. OKOA MAISHA! ❤️

melkisha19 2 days ago

melkisha19

Strategic communication

More posts

back to up