15 hours agoSolo thang,ππ karibu kaka,welcome back kwenye kipindi kigumu zaidi kuwahi tokea katika nchi yetu. Wameficha maiti,kweli bro watu wamezika picha na viatu...inauma sana kuchukulia watu walioua thamani yao ndogo kiasi hicho.π’π’π’They don't even show respect to a human even if is dead ..hii ni dharau kubwa sana kwa watanganyika π’π’π’
16 hours agoDuuh huu wimbo umesema ukweli wa Kimungu! Hamna unafiki! Ndugu zetu wapumzike kwa amani!
17 hours agoπππππππππ₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯ππππ
2 days agoBonge la Goma...π₯π₯π₯ respect brho @solothang_aka_ulamaa ...Mbagala hatokei fala
