Posted On: November 2nd 2026, 09:06 am
Leo, Novemba 2, 2026, ni miaka minne tangu kifo cha rapper Takeoff, aliyekuwa mmoja wa wanachama wa kundi la hip-hop la Migos.
Takeoff, jina lake halisi Kirshnik Khari Ball, alifariki Novemba 2, 2022, akiwa na umri wa miaka 28, baada ya kupigwa risasi jijini Houston, Texas, nchini Marekani.
Akiwa pamoja na Quavo na Offset, Takeoff alifanikiwa kuitangaza Migos kimataifa kupitia nyimbo kama Bad and Boujee, T-Shirt na Stir Fry.
Hadi leo, anakumbukwa kwa kipaji chake na mchango wake mkubwa katika muziki wa hip-hop.
Rest in Peace, Takeoff.
#pmtvtwo_ #kiburudanizaidi ta