Posted On: November 2nd 2026, 06:59 pm
JKT TANZANIA: “…tunataka tuwe wa kwanza kuchafua historia ya Simba SC”
JKT Tanzania kupitia kwa afisa habari wake, Masau Bwire anatuam salamu kwa Simba SC akisema malengo yao ni kuwa timu ya kwanza kuifunga msimu huu…
Masau anaanza kwa kuelezea mipango yao katika kipindi ambacho ligi itakuwa kwenye mapumziko kupisha ratiba ya FIFA…
Mchezo dhidi ya Simba utapigwa Novemba 21 mwaka huu baada ya mapumziko hayo…
Je, kwa Simba hii, malengo yao yatawezekana?
#JKTTanzania #NBCPL #MasauBwire Load More