⭕🔵Yanga SC Fixtures 2025/26 ⚽ Mechi Zote Zilizobaki Ligi Kuu NBCPL
Je, Wananchi wataimaliza kazi na kutetea heshima yao kileleni? 👀🔥
#YangaSC #NBCPL #Mission9GamesLeft
#KariakooDerby Chama anafunga goli la aina hili….!!!! Ni goli la pili kwa Simba.
35’: Simba SC 2-1 Yanga SC
Burudani iko LIVE #AzamSports1HD
#NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #ImenogaZaidi #KariakooDerby #SimbaYanga #HainaLawama
#NBCPL: Tazama ‘vionjo’ vya Ramadhan Salum ‘Chobwedo’ alivyovifanya kwenye mchezo wa NBC Premier League kati ya TRA United dhidi ya Azam FC.
FT: TRA United 4-1 Azam FC
(Imeandaliwa na Gloria Ndunguru @_chifamous)
#NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #ImenogaZaidi #TRAUnitedvsAzamFC #TRAUnited #AzamFC #TRAUnitedAzamFC
#NBCPL: Cheki balaa kutoka kwa Allan Okello.. Bonge la bao likiwa ni goli lake la pili kwenye mchezo huu, na la tano kwenye ligi msimu huu.
90’: Yanga 3-0 Coastal Union,
Kikosi chetu kimewasili kwenye stesheni ya Magufuli, tayari kwa ajili ya kuanza safari yetu kuelekea mkoani Singida, tukienda kuivaa Singida Black Stars, kesho Jumapili.
#nbcpl #weareazamfc #timuborabidhaabora
#NextMatch⏭️
🆚 JKT TANZANIA
🏆 NBC Premier League (NBCPL)
🏟 Uwanja wa Sheikh Amri Abeid - Arusha.
📆 12.05.2026
🕓 10:15 Jioni
Chama Aliona Isiwe Tabu Akamuomba Ushauri Kapombe
.
FOLLOW: @bongofasta_
.
.
.
#nbcpl #yangasc #simbasc #tanzanianfootball #bongofasta
#NextMatch⚫️🟡
Jukumu jingine mbele yetu, Kukusanya Kodi kwa Makuluta💪
🆚 JKT TANZANIA FC
🏆 NBC Premier League (NBCPL)
🏟 Uwanja wa Sheikh Amri Abeid - Arusha.
📆 12.05.2026
🕓 10:15 Jioni
cc: @traunitedsportsclub
#PiraRisiti | #Piramapato | #KodiYetuMaendeleoYetu
Azzim Dewji na wachezaji baada ya MZIZIMA DERBY kumalizika
#NBCPL
Clatous Chama anafunga goli kwenye mchezo wa tatu mfululizo kwenye ligi kuu ya NBCPL..🔥🔥
Amefunga dhidi ya Yanga, amefunga dhidi ya JKT Tanzania na jana amefunga tena dhidi ya Tanzania Prisons
Sasa amefikisha magoli 7 na assist 3 na jumla anakuwa amehusika kwenye magoli 10 katika mechi za ligi kuu msimu huu.
Real Legend, What a player🔥🔥
Powered by @dubai_computers
#ngindomedia #ngindoupdates
"Derby zinakuwaga ni mechi muhimu sana hasa kwa wachezaji, ndio inakufanya ujue kama unasajiliwa au unatimuliwa," - George Lucas, Mchezaji wa zamani wa #SimbaSC
Oktoba 19; Hakuna Kisingizio …..!
Mechi itapigwa saa 11:00 jioni LIVE #AzamSports1HD
#NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #SisiNiSoka #KariakooDerby #WataniWaJadi #DerbyYaKariakoo #SimbaYanga #SimbaSC #YangaSC #HakunaKisingizio
NBCPL | FULL TIME:
🏟️JKT TANZANIA 1-0 MBEYA CITY
⚽Paschal Manyam
Wananiitaga MJUMBE, na MJUMBE hauwawi 🗣️📢
#michezo #nguvumoja #daimambelenyumamwiko #football #soka