
6 minutes agoMmekomaaga na Dar es salaam jamn kwn mikoa mingne haipo? Nenden hata Bukoba, Tanga, Mwanzaaaa nk. Kila kitu mpo Dar duuh😢
7 minutes ago@nee_store_tz drove your comment babe, ata wanuone dada Magreth wa kule Soweto
8 minutes agoUbarikiwe sana dada kwa wema wako Mwenyezi Mungu azidi kukufungulia ufanikiwe zaid na zaid na Allah akujaalie mwisho mwema
9 minutes ago+255 762 360 062 uyu dada anaitwa mgareth yupo moshi Kilimanjaro anasimamia kituo cha watoto wanaoishi mazingira magumu na yatima.. anapambana sana sanaa kuanzia kulipia watoto school fees, chakula nk na Ana Upendo ule wa Agape kwa watoto❤️ hawajapata makazi maalumu wamepanga mitaa ya Soweto karibu na shule ya Moshi Airport na huwa wana Hama hama kwasababu ya uchumi! Wakisaidiwa eneo la watoto kuishi mtakua mmewagusa pakubwa🙏🏾 Please kindly @_.niffer._ @badson.74
12 minutes agoKuna ichi kipo kigoma ni kituo cha wazee walemavu wasioona na wasiosikia na wenye ulemavu wa viungo kipo chini ya zahanati ya kikungu pale wana uhitaji wa magodolo, chakula, sabuni , na mafuta ya kupaka pia kituo kimechakaa sana kama mkiwiwa kwa wa mikoani nilikuwa naomba muwafikie na hawa wazee wetu wa kijoma @_.niffer._ wanachangamoto nyingi sana dada yangu na hii elnino iliopo uku kwetu ndo kabisa asante
