VIDEO: Kizazi Alpha (ALFA) ni kundi la watoto waliozaliwa kuanzia takribani mwaka 2010 hadi katikati ya miaka ya 2020. Hawa ndio watoto wa kizazi cha Gen Z, na wanakulia katika dunia ambayo tayari imejaa teknolojia ya kisasa tangu wakiwa wachanga sana.
Kizazi Alpha Wamekuta dunia tayari ikiwa na#Internet ya kasi#Mitandao ya kijamii#Akili bandia (Al)
Tofauti na Gen Z, wao hawajawahi kuishi bila teknolojia kabisa.
Kwa style hui, je mpaka 2050 hadi 2090 itakuwaje duniani?kwa kizazi hiki
#rushulitvupdates
Ni vile tu hatuna pesa ila vacation ni muhimu.
@avopatips @avopa_phones
#avopatips #maisha #akili #utulivu #mapumziko
Utacheka majibu ya watu 😂😂😂😂
#reels #viral #new #trending #foryou #tanzania #fypシ❤️💞❤️ #funny #vituko #interview #chemshabongo #street #brain #akili #nomasana #instagram #tiktok
#AKILI BILA KARATASI.
Inakujia hivi karibuni, kuanzia Mwezi Disemba, kila jumanne saa 1:00 Usiku, tutakuletea kipindi cha AKILI BILA KARATASI, Chenye maudhui ya Malezi, Afya ya Akili, Usalama na Ulinzi wa Mtoto na mengine mengi. Tuangalie kupitia StarTimes Chanel namba 105....
@sematanzania @wizara_afyatz @wizara_elimutanzania @taasisiyaelimu @malezi_bora @afya_ni_utajiri_wa_kwanza @isw_official_tz
UMEKUJA KUBADILI MWELEKEO ......unajua jamaa hatumii nguvu kubwa ni #AKILI TU WANGUWANGU @itslouiagain😂😂😂😂😂
HAKI ZOTE KWA MMILIKI
Amen, Hivyo Hivyo , #Akili. #redemption #teaching
#service
#Hananja
Mjini akili 😂😂😂 bila ya kuwa na akili ya kujiongeza😂😂😂😂.
@magari_used_magomeni kabla ya kununua gari hakikisha unatembelea page hiyo iliusije kujilaumu wauzaji wa magari bora kwa bei nafuu.
@pedimamicrofinance ndio suluhisho lako kama unahitaji mkopo wa haraka na wuhakika basi @pedimamicrofinance wapo kwa ajili ya kukupa uhakika wakupata mkopo @pedima_tz @pedima_enterprises
@pacifypads_tz ni zaidi ya uhuru kwako mwanamke ni pedi zilizo tengenezwa kwenye ubora wa kumpa mwanamke uhuru @pacifypads_tz zinapatikana madukani kote @pedima_tz
#trending #viral #ɴᴇᴡᴘᴏsᴛ #update #bongo #entertainment #viralreels #next #akili
'MIMI NILIZALIWA SIKU YA WAJINGA DUNIANI'
Kupitia #TheSwitch @akilthebraintz amefunguka uhalisia wa jina lake la #Akili na kutueleza sababu za baba yake mzazi kumpatia jina hilo ikiwa ni siku ya Wajinga Duniani 1/4.
#TheSwitch tupo LIVE muda huu kupitia 88.9 @wasafifm Ungana nao kuanzia Saa 8 mpaka 11 Jioni.
Cc @lilommy @ammygal_tz @mtuimara
💻✍ @thisispizo @dikala_animal
#Theswitch2024
##akili ya transformer sauti ya mtoto## brand kubwa##audience##fyp#sonmsouth #electrician comedy.
Sio kila anayeona anaelewa…
Wengi wanapita, wachache wanachambua. 🧠🐺
Je, wewe ni wa kundi gani?
Toa jibu lako kabla hujasoma la wengine…
#SwaliLaBlackwolf 🐺 #Fikra #Akili #MindGames #ThinkDeep
Wengi hudhani kuwa akili ya kiakademia (IQ) ndiyo kila kitu katika kufanikisha maisha, lakini uhalisia ni tofauti kabisa. Dkt. Garvin Kweka anatufunulia siri kubwa iliyomo ndani ya Social Quotient & Emotional Quotient (EQ). Hii inahusisha malezi na mifumo ya maisha a kijamii.
📌 Usikose kuangalia kupitia H.W Tv kwa njia ya YouTube.
💬 Tunathamini maoni yako. Jiunge na mjadala na ushiriki nasi katika mitandao ya kijamii @hubofwisdom.inc au tuma neno WISDOM kwenda namba 0753825794 au tembelea www.hubofwisdom.com/media
#Madini #IQ #EQ #Mafanikio #LifeSkills #HWMEDIA #Afya #Akili #Mahusiano #Dr #Garvin #Kweka #Muhimbili #Saikolojia #thewisetz #wisdom #Tanzania #Kenya #Zanzibar #Congo #Rwanda #Upendo #AfyaYaAkili #Kazi #Mahusiano #Maisha
Ukisema team ya taifa ya Congo ni Mbovu Utaonekana una matatizo ya Afya ya #AKILI Nenda ukapimwe matatizo Ya Akili
Kiukweli , match ya The Great DR Congo na Algeria ilikua ya viwango vya juu sana pande zote mbili .
The Great DR Congo 🇨🇩 heart of Africa