instagram story viewer > #AzamTV

#AzamTV

Posts
Eti ni Sawa kulipa chumba kabla ?🫵.kwa matangazo ,biashara nicheki dm #udakutz #michambo #simbasc #wasafi #azamtv
Katika pitapita zako Bimkubwa ukikutana na mwenyekiti wa nyumba ndogo mtoto wa mjini @mwanaher anakwambia bi wakubwa mjipange hii vita anaimudu. Usikose kuangalia Mwambao mix Kila ijumaa saa mbili kamili usiku marudio jumamosi saa tisa mchana na jumapili saa kumi jioni. Kwetu Kila siku raha shida tunaziweka kabatini. 📽 @ahmeduwezojr #Mwambaomix #Zamaraditv #413Azamtv #azamtv #azamtvburudani
Msimamizi wa Maduka ya AzamTV, Mamii Kisena amesema kwa sasa visimbuzi vya antena vipo kwenye bei ya ofa ya shilingi elfu 39,000/= hivyo wapenzi wa burudani za #AzamTV, wasikose ofa hiyo. ✍Nifa Omary Mhariri | @abuuyusuftz #AzamTVUpdates #MorningTrumpet #utv108
Tukutane Kesho Saa 10 jioni 🙌🙌 . . . #chekapoint #jotitv #kamatiyarohombayaimekaakikao #teamstressfreezone #azamtv baikoko mpoki hahahahahahathahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaha rafiki_wa_diamondplatnumz killerme comedyvideos rowanatkinson mrbean chekatu viziwiwawili udakutz rafikiwameshamazing 🤣😂😂😂😂😂 kondegang4everybody sport viziwiwawili
MBEYA CITY HAWAKUIHESHIMU YANGA - @nasrikhalfan_ Tune in @wasafifm @wasafitv ama Tutazame LIVE kupitia YOUTUBE channel yetu ya WASAFI MEDIA. 🎥 Video by #AzamTv @sportsarena88.9 WASAFI MEDIA | LIVE
VIWANJANI: Mchambuzi wa soka @akingamkono anasema miongoni mwa mbinu ambazo Kocha Miguel Gamondi ataingianazo kwenye fainali za #AFCON2025 ni pamoja na kuhakikisha timu yake hairuhusu kufungwa magoli mengi ili kupata fursa ya kusonga mbele. Michuano hiyo itaanza Desemba 21, 2025 na mechi zote 52 zitakuwa LIVE kwenye kisimbuzi cha #AzamTV #Viwanjani
Mchezo wa nusu fainali ya Kombe la Muungano 2026 kati ya Young Africans S.C. (Yanga) na Azam FC unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa na wa kusisimua unavyopigwa leo, Aprili 25, 2026, katika uwanja wa New Amaan Complex uliopo Zanzibar. Video Credit #azamtv
Hii ndio ofa mpya ya #AzamTV wakishirikiana na #AzamPesa | #ChaJuuZaidi itakayomuwezesha mteja wa AzamTV anayetumia AzamPesa kulipia kifurushi cha shilingi 28,000/= na kufurahia kifurushi cha 35,000/= bure. @sebathewarrior ni Meneja Promosheni wa Azam Media, hapa anaeleza zaidi akianza na uzinduzi wa kampeni mpya ya AzamTV, #Kimewakaa #SokoNiMoko
Chama ameuza faili la YANGA kwa Mpanzu, ndio maana kabaki Simba Kocha Pedro kapewa wiki moja tu CC; @yassin_majengo @itssnaah @alexngereza1 @ngossomsigwa #dimbani Tv3 Katika kisimbuzi cha #startimestz CH 131 (antena) na CH 197 (Dish)å #Tv3Sports Katika kisimbuzi cha #AzamTv CH.416 #Tv3Sports SasaIpo Game
YANGA WAINGIZA WATANO VINARA WA UFUNGAJI LIGI KUU - @daukasomba29 Tune in @wasafifm @wasafitv ama Tutazame LIVE kupitia YOUTUBE channel yetu ya WASAFI MEDIA. 🎥 Video by #AzamTv @sportsarena88.9 WASAFI MEDIA | LIVE
Mwanamkasi ana majibu huyu jamani Daah 😂😂 anajiita Oil Chafu 😂😂 #mchongoseries #films #azamtv #bongomovie #movie
Iwapo utakumbana na changamoto yoyote katika kufurahia burudani za #AzamTV kwa wakati, sikiliza maelezo ya Mtaalamu wa Mafunzo wa Azam TV, Regan Tairo, akifafanua mbinu rahisi za kuepuka usumbufu huo. #AzamTVUpdates ✍Warda John Mhariri| John Mbalamwezi
back to up