instagram story viewer > #Chanzo

#Chanzo

Posts
Ni majonzi na vilio katika eneo la Stendi ya Ubungo Mawasiliano Jijini Dar es salaam ambako moto ambao chanzo chake hakijajulikana hadi sasa, umeteketeza Maduka mbalimbali ya Wafanyabiashara wa eneo hilo ambapo huyu ni mmoja wa Wafanyabiashara wa eneo hilo akiwa katika hali ya majonzi kutokana na janga hilo. Waandishi wa @millardayo na @AyoTV_ waliopo eneo la tukio wanaendelea kufuatilia kwa karibu tukio hili ili kukuletea taarifa za kina kuhusu chanzo cha moto huu unaodaiwa kusababisha hasara kubwa kwa Wafanyabiashara hawa. #MillardAyoUPDATES
⚠️Breaking News: Vibanda vya wafanyabiashara Mawasiliano vinateketea muda huu Moto umeibuka na kuteketeza vibanda vya wafanyabiashara wadogo katika eneo la Mawasiliano, huku chanzo cha tukio hilo kikiwa bado hakijajulikana. Taarifa zaidi kuhusu chanzo cha moto huo na athari zake zinatarajiwa kutolewa baadaye. Endelea kufuatilia taarifa hizi kupitia kurasa za TBC Online.
MOTO MKUBWA WAZUKA MUDA HUU UBUNGO MAZIWA, CHANZO BADO HAKIJAFAHAMIKA Moto mkubwa umezuka muda huu katika eneo la Ubungo Maziwa karibu na ofisi za TANESCO, huku chanzo cha tukio hilo kikiwa bado hakijafahamika. Jitihada za kuudhibiti moto huo zinaendelea, na mamlaka husika zipo eneo la tukio kuhakikisha hali inadhibitiwa na kuchunguza kilichosababisha moto huo. Endelea kufuatilia Wasafi Digital kwa taarifa zaidi. 📸🎥 @jimmy_pro_gallery #WasafiDigital
@kiredio_ ame-share na sisi namna ambavyo kupitia mtandao wa Tiktok alijikuta anapoteza pesa kiasi cha Tsh Million 7 badala ya kutengeneza pesa, na tangu siku hiyo akafanya maamuzi ya kuutumia mtandao huo kama platform tu na sio chanzo cha mapeto. • #XXLyaCloudsFM
Jioni hii moto mkubwa umezuka katika eneo la Mawasiliano (Simu 2000) jijini Dar es Salaam, na kuteketeza baadhi ya maduka. Hadi sasa, chanzo cha moto huo bado hakijafahamika. Jitihada za kuuzima moto huo zinaendelea kufanywa na vyombo vya usalama kwa kushirikiana na wananchi wa eneo hilo. Endelea kufuatilia kurasa zetu kwa taarifa zaidi kadri zitakavyokuwa zinapatikana. #CloudsdigitalUpdates
#HABARI: Gari aina ya Range Rover linateketea kwa moto muda huu katika barabara ya Mandela na kusababisha foleni maeneo ya Mwananchi jijini Dar es Salaam. Chanzo cha moto huo hakijajulikana mara moja. Powered by #MCHEZOSUPA ‎ ‎‎JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA: ‎- ‎Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M - Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV. ‎ ‎#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania ‎Follow @itvtz @radioonetanzania ‎@capitaldigitaltanzania
DAR: Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ameyasema hayo Machi 2, 2026 alipokuwa akifanya mazungumzo na Vyombo vya Habari kuhusu chanzo cha foleni katika barabara za Jijini hapo. #JamiiForums #JFHuduma #UtawalaBora
VIDEO: Ajali mbaya imetokea leo January 10, 2026 katika kata ya Igawa katika Mkoa wa Mbeya, huku mashuhuda wakigoma kusema chochote. Chanzo cha ajali hiyo kimetajwa kuwa ni dereva wa gari iliyosababisha ajali kuendesha akiwa amesinzia kitendo ambacho kimeleta madhara makubwa. Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyakazi wa Malori nchini Tanzania (CHAWAMATA) Ndug; Nuhu amefanya jitihada za kuzungumza na mashuhuda wa ajali hiyo lakini hajafanikiwa. Sababu imetajwa kuwa wameona aibu kuongea na @chawamata_tv kwani wameona aibu kuzungumzia tukio hilo ambalo limesababisha ajali hiyo. Madereva wote wawili wamefikishwa hospitali kwaajili ya kuendelea na matibabu, hakuna vifo taarifa zaidi tutazileta kadri tutakavyozidi kuzipata. #chawamata_tv
Hofu yatanda kwa wafanyabiashara wa Coco Beach: Wadai kupewa mwezi mmoja kuondoka kumpisha mwekezaji. Wakizungumza na The Chanzo leo, wajasiriamali na wafanyabiashara wadogo kwenye fukwe za Coco wamesema baadhi ya viongozi na watendaji wa Halmashauri ya Kinondoni waliwaita na kuwapa taarifa ya kutakiwa kuondoka ndani ya siku 30 kupisha uwekezaji. Katika malalamiko ya wafanyabiashara hao, wameeleza pia kusikitishwa na kauli za watendaji hao kwa mfanyabiashara wa kike, kauli zenye viashiria ya kutaka rushwa ya ngono. Kufuatia malalamiko haya ya wafanyabiashara wadogo, The Chanzo inaendelea na jitihada za kuwapata halmashauri ya Manispaa ya kinondoni kutoa ufafanuzi juu ya madai ya wafanyabiashara hawa. Credit #muukatototv
DAR ES SALAAM: Padre Moses Ochogo wa Jimbo Katoliki la Bunda amesema kuwa kiburi ni chanzo kikuu cha dhambi nyingi katika maisha ya mwanadamu, akisisitiza kuwa mara nyingi dhambi mbalimbali huanzia katika moyo wa mtu unaojiona mkamilifu kuliko wengine. - Akihubiri homilia yake Ijumaa ya leo, Machi 6, 2026, wakati wa adhimisho la Misa Takatifu katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Yosefu jijini Dar es Salaam, Padre Ochogo alieleza kuwa vitendo kama kuiba, kukataa kuomba msamaha au kushindwa kumsamehe mwenzako mara nyingi hutokana na kiburi kilichojificha ndani ya moyo wa mtu. - Alifafanua kuwa mtu anapojiona mkamilifu na asiye na makosa, huwa vigumu kwake kutambua udhaifu wake na kuomba msamaha. - Imeandaliwa na Bennard Shija #HabarileoUPDATES
1. Hawana muda wa kutazama kila kitu Boss wako hawezi kufuatilia kila hatua unayochukua. Chukua jukumu, onyesha initiative na uaminike. 2. Hawapendi kulaumu umoja mzima Wanaweza kuonyesha hasira, lakini mara nyingi hawafichui chanzo cha tatizo. Soma mazingira na rekebisha kimya kimya. 3. Mafanikio yako yanaongea zaidi ya maneno Usitegemee pongezi kila siku. Matokeo yako ndiyo report yako halisi. 4. Wanajua kila mfanyakazi ni tofauti Usitarajie results sawa kwa kila mtu. Umewekwa kwenye majukumu yanayoendana na strength zako. 5. Kila jibu kwako ni potential solution kwao Ukiwa na idea nzuri, usiogope kuitoa. Maoni yako yanaweza kukupandisha ngazi au kuongeza thamani yako kazini. 6. Hawapendi excuses Sababu za kuchelewa au kushindwa hazina nafasi. Wanahitaji matokeo na reliability. 7. Hawana muda wa drama Bad vibes, migogoro, na kuongea sana hupunguza confidence yao kwako. They want fast and clean solutions. 8. Hawatakwambia kila kitu Kuna siri za management ambazo ziko juu ya level yako. Heshimu mipaka ya majukumu yako. 9. Wanaona mtu anayejituma Hata ukiwa kimya, boss anaona consistency, commitment, na uwepo wako. 10. Promotion si haki — ni strategy Hata kama unafanya vizuri, visibility ni muhimu. Onyesha uwezo, ongea, jitokeze. 11. Wanafuatilia growth yako binafsi Wanajua kama unakua au umesimama tu. Ongeza skills, upgrade yourself. 12. Wanathamini balance ya timu Hawataki upendeleo. Kila mtu anatakiwa acheze nafasi yake ili timu iwe stable. 13. Hawapendi mtu wa kuteleza Mtu anayekwepa majukumu madogo madogo hupoteza credibility. Chukua kazi zote kwa uzito sawa. #CareerHacks #BossSecrets #WorkSmart #TikTokCareer #OfficeLife
🚨🙄😂🙌🙌MWIJAKU ANADAI DIAMOND AMEKUWA CHANZO CHA YEYE KUACHANA NA MKE WAKE........ NA FAMILIA YAKE YOTE NI MALAYA 😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌 Cc. @kado_mediatz Follow @kado_mediatz @kado_mediatz #kadomediatz #mungu #wasafimedia #wasafifm #millardayoupdates #kingkiba #Diamondplatnumz #Harmonize
back to up