Hali inazidi kuwa tete kwa U.S.A Boy baada ya kulikimbia jembe na kuamua kwenda kutafuta maisha mjini.
Sponsored by @ryno_perfume
Kwa mahitaji ya manukato yaliyo Bora na Kwa bei nafuu fika kwenye duka la Ryno perfume
#mzizetvupdates #tunakusogezeamezani
A-1 Music (9082759584) हम आपको विभिन्न प्रकार के ड्रम वाद्य यंत्र दिखाते हैं जो A1 पर उपलब्ध हैं। हमारे पास Black Dholak (4000 रुपये), Normal Quality Dholak (1800 रुपये), Steel Dholak (1450 रुपये), Matka Kachi Dhol (1650 रुपये), Wooden Dhol (3300 रुपये), और Imported Jembe (5000 रुपये) हैं। आप हमारे स्टोर पर विजिट कर सकते हैं या WhatsApp के माध्यम से ऑनलाइन ऑर्डर कर सकते हैं।
#Dholak #Dhol #MusicalInstruments #A1Store #TraditionalInstruments ड्रम संगीतयंत्र ऑनलाइनऑर्डर WhatsAppOrder InstagramFollow YouTubeSubscribe
JEMBE CAR ACCESSORIES TUNAPATIKANA ARUSHA ULIPO TUPO TUNA SAFIRISHA MZIGO KWA UAMINIFU NA SALAMA KBS JIPATIE ACCESSORIES YOYOTE KWA GARI LAKO NA BUSTA ZA MUSIC ZA AINA ZOTE PIA TUNA TARAMPS AINA ZOTE 0769974280#jembecaraccessories #kenyantiktok🇰🇪 #tanzaniatiktok #jembesound #instagram
@_esmaplatnumz Alivyotunzwa Mkwanja 💸 Jana Usiku Katika Shughuli Yake Baada Ya Kuolewa Na @jembe_one
King Khan 👑 #Selemani @mbosso_ Alivyoingia Na Jembe Katika Tamasha La Bibi Titi 😂🙌🙌🙌
Jembe amwaga machozii ya furaha
Msanii wa Bongo Movie na mchekeshaji Steve Mengele amewashauri wanaume wenye tabia ya kutafuta maisha ya kuelelewa na wanawake kwa sababu ya uvivu wa kufanya kazi, waache tabia hiyo.
Steve ametoa ushauri huo wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya Mama ni Jembe inayoratibiwa na msanii wa Bongo Movie Irene Uwoya kwa lengo la kuwainua wanawake kwenye kilimo ambapo amesema kadiri siku zinavyokwenda wanaume wengi wanatafuta wajane wenye fedha ili walelewe badala ya kujikita kwenye shughuli za kilimo kutafuta kipato.
"Kuna haja ya kuwa na mkutano wa wanaume nchi nzima, tukawekane kitako kukemea tabia ya wanaume kupenda kulelewa na wanawake badala ya wao kutumia nguvu walizopewa kujenga uchumi na kuacha utegemezi kwa wanawake". amesema Steve Mengele
Ameongeza kuwa wanawake wengi wamekuwa wakifanya kazi kuliko hata wanaume ili kulisha familia zao, na hivyo kupongeza hatua iliyochokuliwa na msanii Irene Uwoya kuamua kugeukia kilimo, jambo lililotia hamasa kwa wasanii wengine.
"Wanaume tusipokuwa macho miaka kadhaa Ijayo wanawake wengi watakuwa matajiri kuliko wanaume kwa sababu ya kujituma kwao, kila sehemu wapo, kwenye vikoba wamo, kilimo wamo wanaume wanabaki kusubiri mwanamke avune aletewe maokoto." amesema Steve
@emmanuelsamwel8195 📹✍
If you see woman hollam Jembe! WOZA OUT NOW🧨
Hatimaye @jembe_one Anaenda Kuwa Mume Halali Wa @_esmaplatnumz Leo !! 💍 !!!!
Endelea Kufuatilia Page Zetu Kwa Updates Zaidi
#WasafiDigital
Хороший был сэт. Один из моментов, наш трек
@anza.music @iamneenoo - “The Jembe” 💃🏼 💥 на шоукейсе @exxunderground в @embargo_villa 🫶🏻
#anza
Na Haya Ndio Makubaliano Ya Wazanzibar Wote #Oktoba Wanatiki Kwa JEMBE @dr.hmwinyi 💚💚💛💛
🎶 #Jembe 🎤 @officialzuchu